Nchi za kiarabu zapinga nchi ya Somaliland kutambuliwa na Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Nchi za kiarabu na kiislamu zimepinga vikali Somaliland kutambuliwa na Israel. Ikumbukwe kuwa nchi ya Somaliland imekuwa huru kwa zaidi ya miaka 30 na hakuna nchi yoyote ya kiarabu iliyoitambua.

Nchi ambazo zimepinga ni Qttar,Turkey,Saudi Arabia,Iran,Yemen,Somalia,Syria. Kukataa kwa nchi hizo kutambua Somaliland Israel imetimia mwanya huo kutambua Jamhuri hiyo na sasa imekuwa Mwiba makali kwao.

Israel kuitambua Somaliland kunaipa nafasi kubwa sana kwenye mpango bahari kuingia Red-sea na sasa naamini Magaidi wa Ki-Houth wana jambajamba ovyo hawaamini macho yao

 
Sasa hayo maroroso yaliyoandikwa kwenye bendera ya somaliland ndio nini tena? Huu udini ndio hatuutaki
 
UN pia wamekosoa wito wa Israel Kwa kuitambua Somaliland.
Laiti kama kauli ya kuitambua Somaliland ingetolewa na nchi nyingine isingekuwa shida ila Kwa Israel inakuwa dunia nzima inapiga kelele
 
Kinachofuata hata Marekani itakuja kuitambua Jamuhuri ya Somaliland na hata jumuiya ya Ulaya vilevile na kisha waarabu wote watafuata na kisha Afrika nzima.

Taifa la Somaliland litakuwa ni chachu muhimu katika kusaidia kuutokomeza ugaidi duniani.
 
Kinachofuata hata Marekani itakuja kuitambua Jamuhuri ya Somaliland na hata jumuiya ya Ulaya vile na kisha waarabu wote watafuata na kisha Afrika nzima.

Taifa la Somaliland litakuwa ni chachu muhimu katika kusaidia kuutokomeza ugaidi duniani.
Usa hawezi kubali maana anajua kutambua somaliland kama taifa kutaleta mvuragano na hata vita ndio maana Usa ,Eu Au na nxhi za uarabuni wamekataa ni suala gumu sana na
 
Usa hawezi kubali maana anajua kutambua somaliland kama taifa kutaleta mvuragano na hata vita ndio maana Usa ,Eu Au na nxhi za uarabuni wamekataa ni suala gumu sana na
Nani alikudanganya hivyo Israel haikurupuki kama unavyofikiria. Wewe subiri kuna nyingi nyingi tu watalitambua taifa la Somaliland moja wapo ni Cyprus Ugiriki Nijuavyo Mimi lazima walishaongea na Marekani wakakubaliana na ndiyo maana Israel wamelitambua taifa hilo.

View: https://x.com/israelipm/status/2003176687651946938?s=61
 
Usa hawezi kubali maana anajua kutambua somaliland kama taifa kutaleta mvuragano na hata vita ndio maana Usa ,Eu Au na nxhi za uarabuni wamekataa ni suala gumu sana na
Mvurugano gani au vita kati ya nani na nani. Hizo ni porojo tu Somaliland itakuja kutambuliwa na wote ikiwemo na Tanzania vilevile. Ngoja tusubiri ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…