Nchi za Kiarabu zitusaidie Kutujengea Misikiti Mikubwa na Madrasa huku Tanzania

una uhakika huyo aliyetaka hayo ni muislamu??
Nyie Waislamu tumieni akili, unashindwa hata kusoma 👇
Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa.
Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana kueneza Dini yetu.
 
mkulima antataka jembe ....je suala hilo la kutaka misikiti una uhakika huyo mdau aliyelileta ni muislamu kweli, au amepotosha uma kwa makusudi kupitia uislamu ili uislamu upate kuchafuka???
 
Comments nyingi ni wamepotoka wamesoma uzi kama kasuku wameshindwa kujua kiini cha bandiko na ujumbe uliokusudiwa
Anyways sisi waislam pia tumeshabadilika hatuombi wala kuendekeza misaada ya madrassa na tende
tumeanza na ujenzi wa hospital Tabata karibuni tuwatibu kwa staha na ubinadam
 
Acha kutafuta visingizio kwa kutaka kumfanya muislam mwenzako kafiri hata kwa kumkana jambo ambalo kiislam, ni ukafiri kuliko ukafiri
Mkuu unadhani uislamu ni mtu...?? kwa maana mawazo yake yahukumu dini nzima. kuweni watu wenye fikra..
 
Nyie Waislamu tumieni akili, unashindwa hata kusoma 👇
mkulima antataka jembe ....je suala hilo la kutaka misikiti una uhakika huyo mdau aliyelileta ni muislamu kweli, au amepotosha uma kwa makusudi kupitia uislamu ili uislamu upate kuchafuka???
 
Hilo waambie waislamu wenzake wanaweza nchi hii waumini wa kiislam ndio matajiri wakubwa na walipa Kodi wakubwa kupitia biashara na uwekezaji mbalimbali nchini.
Wakristo wapo wengi kwenye ajira na sio biashara.
85% ya mabus,malori, daladala,maduka,mitumbwi ya uvuvi, viwanda,taxi,nk vyoote wamiliki ni waislamu hata ukicheka Brella au majina ya wamiliki wa mali hizo ubavuni.
Mnafeli wapi?
Waislamu sio watoaji kwenye mambo ya dini tofauti na Wakristo.
Imarisheni moyo wa kutoa ili mjenge misikiti mikubwa kila kata nchini.
 
Watupe na madumu ya mkojo wa ngamia maana mtume kasema ni dawa ya kutibu magonjwa
acha tabia za kudhihaki maneno ya Mtume wa Mungu kwasababu Mtume hatamki jambo kwa matamanio yake bali ni ufunuo utokao kwa Mungu...hebu fatilia hii study ipo kwenye official website ya serikali ya Marekani kuhusiana na mkojo wa ngamia.

Wanasayansi mpaka leo wanazifanyia research kauli za Mtume Muhammad "pbuh" na kila wanachokichunguza wanakuja kugundua ni kweli

Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa.

Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana kueneza Dini yetu.

Kama hawatajali pia wakati wa Ramadhani washirikiane na Serikali jamani tupate tende bure au kwa kuchangia kidogo. Tende ni nzuri jamani huwa zinatusaidia sana hasa wakati wa mfungo. Na maziwa ya Ngamia. Wallah hapo itakuwa Sunna nzuri kwetu na ibada pia.

Saidieni nanyi mtabarkiwa sana sisi mahitaji yetu makubwa ni hayo tu. Tende, Misikiti, Madrasa,maziwa ya ngamia na kama hamtajali na kanzu zenu huwa ni quality sana na vilemba. Hivyo msiache kutusogezea na makobazi. Allah atawabarikia sana.
Kama makanisa Mbeya eti!
 
Tulichelewa kuwaaambia wakati tunawapa Bandari,mbuga za wamasai,KIA,nk
 
Dunia imebadilika mkuu wangu, mambo ya kiislam kwa sasa ni upuuzi mtupu, hakuna Mungu hapo ni siasa tu za kiarabu kutawala waafrika kifikra na kitamaduni. Huo utamaduni /dini yao ni ghiliba tu hatutaki mambo hayo hii si nchi ya kiislam
 
Mtoa mada hajitambui, na usikute ni gaidi huyu
 
Tayari mkuu dp world imewaambia bakwata watafute maeneo yaliyopo katikati ya mji tu watanunua na kujenga

Kwa kuanzia

Mbeya wameanza process wa msikiti mkubwa
Arusha bukoba na njombe morogoro

Mikoa mingne itafuata
 
Wewe sio msemaji wa Waislamu , hii ndio shida ya Extremist Galatians yaani wao wanawaza Uislamu tu.

Haina ya kujivika Uislamu ili kuanzisha mada zako , hiyo dalili ya upungufu wa akili
 
HUU NDO UTOFAUTI ULIOPO KATI YA VIJANA WA KITANZANIA NA BURKINABE..
KA TRAORE KALIGOMA MSAADA WA MISIKITI 200
HUKU TZ SASA..
Rudia kumsoma vizuri mleta uzi, maandishi yake yanaonesha nae ni mfuasi mzuri wa Traore, mleta uzi anakejeri misaada ya Arabs league kwa nchi zingine, misaada ambayo haina impact kwa wananchi hata wana dini. Hiyo misaada ni ya kupewa masikini ili waendelee na umasikini wao, haiondoi umasikini instead inazidisha tu umasikini. Hongera mleta uzi kwa kutumia diplomatic language kuwasilisha ujumbe wako, faida ya fasihi andishi
 
mkulima antataka jembe ....je suala hilo la kutaka misikiti una uhakika huyo mdau aliyelileta ni muislamu kweli, au amepotosha uma kwa makusudi kupitia uislamu ili uislamu upate kuchafuka???
Hayo ya kupotosha nakuachia ww, mm nimesoma Mada yake. Labla ww ndo ulete ushahidi kuwa sio muislamu na sio ngonjera
 
Jaribu kuwa na mapenzi ya kusoma shule, usome ili uelimike uje kuwa mtu kati ya watu. Hizi dini za watu zisizokuhusu zinakusaidia nini wewe na watanzania wenzako wasiojitambua? Hatutaki misikiti hapa Tanzania wala madrasa, tunataka shule za maana na hospitali.
Soma hiyo post kwa utulivu , imejaa kejeli tupu
 
Watusaidie kobazi za kuvaa, watusaidie kututibia ndugu zetu kwenye hospitali zao maana sie hatuna hospitali za Kiislamu huku kwetu pia watusaidie na chakula maana tunasimangwa kuwa hatulimi bali tunaswali muda wote.
 
A
Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa.

Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana kueneza Dini yetu.

Kama hawatajali pia wakati wa Ramadhani washirikiane na Serikali jamani tupate tende bure au kwa kuchangia kidogo. Tende ni nzuri jamani huwa zinatusaidia sana hasa wakati wa mfungo. Na maziwa ya Ngamia. Wallah hapo itakuwa Sunna nzuri kwetu na ibada pia.

Saidieni nanyi mtabarkiwa sana sisi mahitaji yetu makubwa ni hayo tu. Tende, Misikiti, Madrasa,maziwa ya ngamia na kama hamtajali na kanzu zenu huwa ni quality sana na vilemba. Hivyo msiache kutusogezea na makobazi. Allah atawabarikia sana.
Alafu kila msikiti na madrasa kuwe na mwalimu wa KUNG-FU!!
 
Ili itusaidie nini Yani mjinga mpe mambo ya nadharia mwerevu mpe ujuzi badala iwafundishe ujuzi
 
Back
Top Bottom