Nchi za Kiislam zinashiriki kombe la Dunia la wanawake? wachezaji wao wanavaaje?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Habarini wakuu, nasikia kuna kombe la Dunia la wanawake linaendelea huko, nape nda kufahamu, je mataifa ya Kiislam yanayojua soka kama Egypt, Iran, Uturuki, Saudi Arabia huwa zinashiriki kwenye haya mashindano kama zinavyoshiriki kwenye mashindano ya wnaume?
Je kama wanashiriki, wachezaji wao wanavaaje? Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…