Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Habarini wakuu, nasikia kuna kombe la Dunia la wanawake linaendelea huko, nape nda kufahamu, je mataifa ya Kiislam yanayojua soka kama Egypt, Iran, Uturuki, Saudi Arabia huwa zinashiriki kwenye haya mashindano kama zinavyoshiriki kwenye mashindano ya wnaume?
Je kama wanashiriki, wachezaji wao wanavaaje? Asanteni
Je kama wanashiriki, wachezaji wao wanavaaje? Asanteni