Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

Uandish wako umekosa consistency
 
Katika kila mauzo walirudisha 10% kwa kuendeleza nchi, pamoja na makusanyo ya kodi ndiyo pesa walijengea barabara, shule, hospitali nk

Hakuna tofauti na mikataba tuliyoingia sasa hivi.
 


Wala hueleweki, mwanzako para 2 zingetosha na wewe mstari mmoja tu ungetosha.
 
Katika kila mauzo walirudisha 10% kwa kuendeleza nchi, pamoja na makusanyo ya kodi ndiyo pesa walijengea barabara, shule, hospitali nk

Hakuna tofauti na mikataba tuliyoingia sasa hivi.


Mauzo ya nini bibie, ya dagaa??!!
 
Siamini mimi binafsi kama taifa la nje linaweza kuwa na uwezo wa kuingilia mambo binafsi ya nchi nyingine, hao mabeberu kweli tunawasingizia vingi, adui yetu ni tamaa ya viongozi wetu wenyewe, huyo mzungu akitaka uranium aje tukae chini tuzungumze bei tutanufaika vipi simple, lakini kunitisha sijui kitu gani naachana nae, hizi rasilimali tunazitumia haraka haraka kwa kiherehere chetu ndio maana tunazitoa hovyo mwishowe hatuoni manufaa yake kwa wananchi., akigoma mzungu mmoja atakuja mwingine shida iko wapi mali haiozi chini ya ardhi.
 
Nye
alikataza tusichimbe madini mpaka wenye elimu watakapoongezeka na kuweza kuchanganua mikataba. Matokeo yake alipofariki tu kabla hata hajazikwa simu zilianza kupigwa.
 
Nye

alikataza tusichimbe madini mpaka wenye elimu watakapoongezeka na kuweza kuchanganua mikataba. Matokeo yake alipofariki tu kabla hata hajazikwa simu zilianza kupigwa.
Ndio kiherehere cha viongozi wetu hicho utadhani gold ni nyanya ikikaa sana ardhini itaoza, matokeo yake leo wachimba lakini hata hatuoni manufaa yake, umasikini uko pale pale au ndio unaongezeka.
 
Mauzo ya madini enzi za mkoloni, wakati ule bado walikua wanamuamini Mungu na 10% waliyoturudishia ilikua kama zaka


Hahahaaa, 10% royality fee??!! ya mzungu wa zama hizo za ukoloni🤣🤣, ingekuwa zama hizi za mkoloni mweusi rarely could you get 2% kwani 8% yote ingepigwa juu kwa juu.
 
Hivi Tanzania hatuna bandari mbona hao wachina wapo busy na bagamoyo msome mkataba sio kwa kelele za wapiga debe wachache wanaotaka asilimia zao tuu Kama kweli wanaipenda Tanzania wagawe huo mkataba kwenye magazeti ya serikali na bungeni watu wajisomee kitakachoendelea....
 
Msi
msimamo ni mkataba wenye win win situation na kuzingatia maslahi ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…