Nchi za ughaibuni zinaweza kukufanya ushindwe kuwa na mwanamke au kupata mtoto

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Uku kwetu sheria inayofatiliwa sana ya kijambio chako ni mali ya serikali hayo mengine hata katiba ni takataka.

Wanawake na watoto kwa wenzetu sheria ni kali sana,mtoto wa kumzaa mwenyewe anaweza kukupeleka jela kwa kushindwa kumtunza hata ukimchapa.

Kwa wanawake bora ushike bastora kama yule jamaa wa bunju.Huku ukimpiga kibao unaweza kujikuta jela.

Mke wako anaweza kukushtaki kesi ya kwamba umembaka na hapo umezaa naye kisa umeomba mechi.
 
Haki ya mtoto... kuna bomu linatengenezwa mtoto lazima umpe mapigo!
 
Wanawake wanasikilizwa sana kwenye sheria kuliko mwanaume,sisi Wanaume hatuna sheria inayotutetea kabisa
 
Mbona hata huku yamefika. Ila shughuli wanayokutana nayo single mama si ya mchezo pamoja na kuwa sheria imewaegamia
 
Uku kwetu sheria inayofatiliwa sana ya kijambio chako ni mali ya serikali hayo mengine hata katiba ni takataka.

Wanawake na watoto kwa wenzetu sheria ni kali sana,mtoto wa kumzaa mwenyewe anaweza kukupeleka jela kwa kushindwa kumtunza hata ukimchapa.

Kwa wanawake bora ushike bastora kama yule jamaa wa bunju.Huku ukimpiga kibao unaweza kujikuta jela.

Mke wako anaweza kukushtaki kesi ya kwamba umembaka na hapo umezaa naye kisa umeomba mechi.
Ndio mana huko kwenu hamlindi migongo
 
Back
Top Bottom