Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
za ulayaSawa
Nchi Gani Hiyo
za ulaya
Ulaya kuna nchi nyingi , nchi gani hiyo ?? Serbia, Montenegro, Macedonia , Greece, Romania, Bosnia and Herzogovina nk???ipi ?? maana hata tabia za wanawake ziko tofautiza ulaya
Ndio mana huko kwenu hamlindi migongoUku kwetu sheria inayofatiliwa sana ya kijambio chako ni mali ya serikali hayo mengine hata katiba ni takataka.
Wanawake na watoto kwa wenzetu sheria ni kali sana,mtoto wa kumzaa mwenyewe anaweza kukupeleka jela kwa kushindwa kumtunza hata ukimchapa.
Kwa wanawake bora ushike bastora kama yule jamaa wa bunju.Huku ukimpiga kibao unaweza kujikuta jela.
Mke wako anaweza kukushtaki kesi ya kwamba umembaka na hapo umezaa naye kisa umeomba mechi.
ila wanakukaza ukipewa pesaNdio mana huko kwenu hamlindi migongo