Nchi zenye maskini wengi wa kutupwa, japo Kenya imo lakini kunao walio hoi zaidi yetu

I can't see my threadπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaogopa sana. Najua imekua reported Mara kadhaa ikatolewa
 
Nilitaka wapea hii maths, ushamaliza.
 

Hivi data za Kenya bado mnatumia mlizopewa miaka ile ya Nyerere, elimu yenu haijawafundisha kujiongeza, hakuna Mtanzania hujaribu kujiongeza walau hata hatua moja, kuna siku nilikua kwenye bus na Watanzania, wakaanza kujadili mambo ya Kenya, yaani nilizuia kicheko muda wote, mpo mpo tu, mliaminishwa vitu vya ajabu ambavyo haviwatoki hata kwa elimu yenu duni, mumeganda na kudumaa.....

Last time I checked Kenya's population was 49.7m.... I believe by now we are 51m which makes our poor less than 30%
We beat you in whichever way you look at it, most starving nations mpo mbaya zaidi ya Kenya, extreme poverty mpo hoi zaidi yetu, yaani kila kitu.
Endeleeni kuaminishana mambo ya kujifariji lakini Kenya inapiga hatua kwa turbo chargers. Pengo la uchumi baina yetu limeongezeka, ukilinganisha miaka ishirini iliyopita na leo, tunazidi kuwaacha kwa mbali...
 
Data sio matumizi.........wapi wanakufa kwa njaaa sana......1st world kantre
 
Duh! The reputable tz economist Mkikuyu- Akili timamu come for your students.They are exposing the stupidity you taught them .
 

Never stops cooking data.
When was Kenya's population 40 million, 1999?

Kenya is approaching 50 million people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…