Nchi zenye speed kali ya internet duniani

Nchi zenye speed kali ya internet duniani

If I'm not mistaken, we used to have a connection speed of about 10Mbps, some years back before we wrere connected to the National Backbone, popularly known as Mkongo wa Taifa. Kwenye around 2006 nadhani tukawa tumeunganishwa kwenye huu mkongo na speed ikawa iko marvelous. As of recent, hata 1Mbps ni shida kuipata, unless uwe unatumia private, wa hawa wenzetu ambao ni cellphone provider. sasa mimi nimekaa nikiwa najiuliza maswali kwamba hii bandwith huwa inakwenda wapi? Hata kama mtandao wetu uwe labda possibly congested sana but I'm optimistic kwamba our connection speed cannot go that low, despite the congestion issue

Uwezo wa mitambo yao ni mdogo kwahiyo unakuta ni mwendo wa voice kwanza data baadae.
 
Hii speed nilipata kwenye Halotel juzi nikiwa torrent
Screenshot_2020-01-05-20-33-10-384_com.delphicoder.flud.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jersey iko bara gani mkuu?
Singapore ndio nchi yenye speed kali ya internet ina wastani wa 60.39Mbps. Taarifa hizi zilikusanya na M-Lab, ikiwa ni ushikiano wa New America's Open Technology Institute, Google Open Source Research, Princeton University's PlanetLab na wabia wengine,

Kumi bora ya Nchi kumi zenye speed ni:

1 Singapore 60.39Mbps

2 Sweden 46.00Mbps

3 Denmark 43.99Mbps

4 Norway 40.12Mbps

5 Romania 38.60Mbps

6 Belgium 36.71Mbps

7 Netherlands 35.95Mbps

8 Luxembourg 35.14Mbps

9 Hungary 34.01Mbps

10 Jersey 30.90Mbps

Atlas book imeiandika Tanzania kuwa na avarage speed ya 2.34Mbps kwa mwaka 2018 kwa report iliyoandikwa mwaka 2019 July

Fastest internet connection (country)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom