Nchi zetu zitoe shinikizo China isamehe madeni yake

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Yaani nchi za Africa zimezoea kulaumu nchi za west mpaka kwenye Corona. Tunaomba world bank itusamehe makosa yetu lakini kwanini mikopo ya China haionholewi. Tanzania mikopo mingi ya China moja wapo ni ule wa $1.3B bomba la gesi ambalo halitumiki vizuri. Kawanini tusiombe punguzo huko wakati wenyewe ndiyo wametuletea hii Korona. Utalii vilevile umepungua kwasababu y korona iliyoyokea China. Wakati China wanaendelea kula popo na kutuletea magojwa bado wanatuletea vifaa feki vya kupima korona, wamezuia ventilators za kusaidia wagojwa mahututi na wanajaribu kutumia muda huu kuuza vitu. Vyakula wameanza kununua USA badala ya Africa, wametufanya kama dampo ya vifaa ambavyo havina viwango wakati wakiwaulizia vifaa vizuri nchi za magharibi. China wanahonga nchi na kuwakopesha mikopo ambayo ambayo hawawezi kulipa bila kuleta kazi kwenye nchi hizo. Hata reli ambayo inawqsaidia kuoba madini ya kopa Zambia haitengenezwi kwa viwango vya kisasa wanataka sisi ndiyo tutengeneze wakati Zambia inaendelea kuwa masikini hawana hata pesa za kujenga barabara. Je kwanini wasiweke kiwanda cha betri zambia au cha air condition ambazo zinatumia hizi kopa/shaba. Bado maraisi wetu wa Africa wanafurahia 10% zao wakati wanauza nchi zao. Hata utalii wa China ni mdogo wanaenda France na USA kutalili wakati Africa watalii wengi ni wazungu. Wanasema wanatoa misaada kwa wanafunzi wakati wenyewe wanapeleka wanafunzi wao USA na UK yaani shule za huko zimejaa wa China.

Nchi zetu zisiohope zitoe kauli ya kusamahemwa madeni ya China ili waweze kujiendeleza badala ya kuomba mikopo ya world bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…