Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto.

Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza na sio cha kuigana.

HAPA kwetu biliani mpaka ijumaa
 
Umeandika kweli mleta mada ...sekta ya chakula imeajiri watu wengi Sana kwa nchi za wenzetu na wanalipa Kodi sio hiki mama ntilie na wente vibanda vya chipsi bado hawajawekwa kwenye mfumo rasmi WA ajira.

Halafu ukae ukijua nchi yetu ya Tanzania watu wengi ni closed minds wamekariri chakula cha Aina zisizozidi tatu wali ugali na chipsi
Ukipika chakula tofauti na hivyo utahangaika Sana kupata wateja.
 
Chakula Kila siku lazima ukile hivyo ni biashara kubwa kweli kweli.
 
Umeandika kweli mleta mada ...sekta ya chakula imeajiri watu wengi Sana kwa nchi za wenzetu na wanalipa Kodi sio hiki mama ntilie na wente vibanda vya chipsi bado hawajawekwa kwenye mfumo rasmi WA ajira.

Halafu ukae ukijua nchi yetu ya Tanzania watu wengi ni closed minds wamekariri chakula cha Aina zisizozidi tatu wali ugali na chipsi
Ukipika chakula tofauti na hivyo utahangaika Sana kupata wateja.
Tatizo vyakula unaweza tumia pesa mingi nabado usitosheke
 
VYADULA VINADIPA SANA MDULU UPATE WADISHI WADULI
 
Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto.

Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza na sio cha kuigana.

HAPA kwetu biliani mpaka ijumaa
Dagaa Denmark na Norway kilo ni laki mbili na nusu. Halafu ni Snacks za mbwa. Yani natamani kufanya hii biashara ya dagaa kuleta ukanda huu tatizo trade tariffs, customs na bureaucracy.

South Africa wanajitahidi sana kuleta matunda na Egypt.
 
Back
Top Bottom