Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kweli yani kitimoto mpaka km 5 nikifateHamia huko Kwa madiba au Kwa kiduku.
Tatizo vyakula unaweza tumia pesa mingi nabado usitoshekeUmeandika kweli mleta mada ...sekta ya chakula imeajiri watu wengi Sana kwa nchi za wenzetu na wanalipa Kodi sio hiki mama ntilie na wente vibanda vya chipsi bado hawajawekwa kwenye mfumo rasmi WA ajira.
Halafu ukae ukijua nchi yetu ya Tanzania watu wengi ni closed minds wamekariri chakula cha Aina zisizozidi tatu wali ugali na chipsi
Ukipika chakula tofauti na hivyo utahangaika Sana kupata wateja.
Simu imeganda kwenye D. Tafuta fundi.VYADULA VINADIPA SANA MDULU UPATE WADISHI WADULI
Dagaa Denmark na Norway kilo ni laki mbili na nusu. Halafu ni Snacks za mbwa. Yani natamani kufanya hii biashara ya dagaa kuleta ukanda huu tatizo trade tariffs, customs na bureaucracy.Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto.
Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza na sio cha kuigana.
HAPA kwetu biliani mpaka ijumaa