Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu na matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu. Lebanon, Yemen, Palestine, Syria, wanaendelea kupata matokeo ya kipumbavu, hakuna future kwenye hizi nchi zilizowahi kuwa na nuru hapo miaka ya nyuma.
Iran ilikuwa ni nchi nzuri sana kabla haijabadilishwa kuwa dola ya kiislam miaka ya 1970s, Leo hii imekuwa ni nchi ya kulazimisha wananchi kufuata misingi kandamizi ya kidini, uraibu unaotisha wa madawa ya kulevya, Wanawake wanauwawa kisa hawavai hijab, Wananchi wmechoka kuongozwa na sheria kandamizi za kidini karibu misikiti elf 50 imefungwa.
Iran imeona haitoshi imesambaa Lebanon kupitia Hezbollah, leo hii Hezbollah ina nguvu kuzidi serikali, Ile Lebanon iliyowahi kuwa Paris ya Mashariki ya kati imebaki kuwa story, nchi imeharibika.
Yemen ilikuwa ni nchi yenye matumaini ya kuweza kujijenga kiuchumi lakini Iran ilipojiiingiza tu hayo matumaini yameyeyuka, IMekuwa ni nchi inayoongozwa na Houthi wasio na mipango yoyote ya kuiendeleza Yemen, Wao ni kulala na kuamka na Jihad.
Palestina wakaipenyeza Hamas, Hakuna tena vyama vya siasa bali ni uongozi wa kimabavu, Pesa za kuboresha maisha zinaishia kuchimba mahandaki ya kujificha wao, hawajali maisha ya wananchi hata chembe.
Iran imejipenyeza Syria, Ni nchi ambayo kwa sasa haina tena matumaini ya kujirudi, viongozi hadi bajeti zimejikita zaidi kwenye ajenda za Iran kuishambulia Israel, Nchi haina future.
Kila nchi anayoingia Iran inaenda kuharibika ndio maana nchi kama Jordan, Saudi Arabia, UAE, zinajiweka pembeni kabisa ikibidi huwa wanawapa msaada Israel, wanajua vizuri kwamba Iran ukishamruhusu aingize mguu moja ndio mwanzo wa nchi kuharibika.