Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu

Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu

Waziri wa kilimo wa Iran na watu wake jana walikua bongo hapa...na serikali wamekubali kushirikiana nao..vipi na sisi ni washenzi??
Pili hali ikoje Saudia, Libya,Afghanistan, Pakistan, Yemen na nchi nyingine za kiarabu/ kiislamu kuna uhuru wowote wa maana, watu hawapangiwi maisha??Wewe unaongelea Iran pekee sababu MSM zimekuza kasumba but nchi nyingi tu zinaperform vibaya zaidi tunapoongelea uhuru wa kuabudu na haki za binadamu..kuwa mtafiti kidogo usiweke hisia kutokatana na taarifa unazolishwa..
 
Kama huna kitu busara ukutume ukae kimya usome post za Wenzako sio unajiita mchambuzi usiojua mbele wala nyuma .huwez kupungukiwa na chochote
Povu la nini dogo? Humu ni hoja tu. Povu peleka ukweni! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom