Waziri wa kilimo wa Iran na watu wake jana walikua bongo hapa...na serikali wamekubali kushirikiana nao..vipi na sisi ni washenzi??
Pili hali ikoje Saudia, Libya,Afghanistan, Pakistan, Yemen na nchi nyingine za kiarabu/ kiislamu kuna uhuru wowote wa maana, watu hawapangiwi maisha??Wewe unaongelea Iran pekee sababu MSM zimekuza kasumba but nchi nyingi tu zinaperform vibaya zaidi tunapoongelea uhuru wa kuabudu na haki za binadamu..kuwa mtafiti kidogo usiweke hisia kutokatana na taarifa unazolishwa..