Nchi zinazolipa vizuri jeshi lake

Nchi zinazolipa vizuri jeshi lake

Tupe na tannzania Private analipwa shi ngapi?? Coplo, sargent, staff sargent,colocolo,luten usu, luten???? Wote ao bei gan wanalipwa??? Asume ndio wanaanza kazi.
 
Kwa wale wanaotaka kujaribu maisha nje ya nchi katika sekta hii ya jeshi inaweza kuwasaidia hii

Australia - private anapokea Milioni 6 kwa mwezi
"Sajenti" anapokea Milioni 9 kwa mwezi

Canada - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
Sajenti anapokea milioni 10 kwa mwezi
Lutenant anapokea milioni 6 kwa mwezi

Ireland - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
sajenti anapokea milioni 7 kwa mwezi
lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi

NewZealand -private anapokea milioni 6 kwa mwezi
- sajenti anapokea milioni 9 kwa mwezi
- lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi.

UK(UINGEREZA)- private - milioni 4 kwa mwezi
-sajenti - milioni 8 kwa mwezi
- lutenant - milioni 8 kwa mwezi

USA - Private - milioni 4 kwa mwezi
- sajenti - milioni 5 kwa mwezi
- lutenant - milioni 7 kwa mwezi

Hapa hapajawekwa yafuatayo ambayo ni LAZIMA

* bonuses
*benefits
* allowances
* medical
*pension
* living expenses
* hazard pay
* hardship allowances
* field allowances

Nchi ya CANADA ndio inatajwa nchi inayolipa wanajeshi wake mshahara mkubwa duniani.
Mpaka upenye kwenye majeshi yao mkuu lazima uwe umefanya kazi ya ziada
 
Hii ni kwa mujibu wa hali ya kiuchumi na maisha yao kwa ujumla ili waweze kumudu hali ya maisha...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom