Ndio hapo mkuuHii list ina sababu zake, nchi kama Saudi Arabia, Iran, Pakistan, website za porn zimefungwa na sio rahisi kwa mtu kupata kutazama, hainingii akili kama Poland ya population ndogo eti kuzidi nchi kubwa kwa kutazama mambo hayo, sisi wenyewe hapa kwenye hiyo list tumekosa vipi? Kuna lengo maalum la hii list
Kweli rubiiTumehujumiwa Tanzania hatujatajwa wakati ndio vinara