Nchi zinazoongoza Kuangalia Video za Pilau za Mtandaoni

Ila nchi hizo kuna censorship na sites kibao zime blokiwa ,hizi takwimu zina ukakasi ,kuna nchi hapo mfano saudia mitandao yote ya jamii yamekuwa blocked kuanzia fb,instagram nk achilia mbali sites za porn na movies

Ukiwa ndani ya nchi kama saudia ,UAE,North Korea kuna sheria Kali za internet na wame block vitu vingi ..

Hii list haihitaji PhD kujua kama ni fake
Mkuu nenda wikipedia, nenda hata google and then search, "what are the countries leading in watching porn" then am sure Utapata majibu.
 
UAE si ndiyo ipo DUBAI?
 
Mkuu nenda wikipedia, nenda hata google and then search, "what are the countries leading in watching porn" then am sure Utapata majibu.
Mkuu nime check google nimeona ni just blog 1 imechapisha na forums so sio reliable source na ndio maana nikasema ni za ukakasi ,kuna blogs mbona zilimlisha maneno Trump kuwa atawafunga Mugabe na museveni so blogs za mtu sio reliable source na Wikipedia hawajatoa data hzo

Nakupa tu mfano saudia kuzungumza tu siasa mtandaoni jela ,na sites zote za porn zimekuwa blocked ,google watatoaje data za watazamaji wa porn katika nchi hiyo wakati sites zote zimekuwa blocked katika nchi hiyo

Ndio maana nikakuambia haihitaji uwe na PhD kuamini habari hii kutoka kwenye chapisho la blog ya mtu tu,ingekuwa media au site sawa ..yani hapa sijapata tabu kutafuta nilivyoona source ni unknown blog halafu nikichekesha akili kuna sehemu hata Facebook huipata ukiwa kwenye hiyo territory na sites zote huzipati halafu iongoze kuwa na takwimu ya watazamaji walio wengi huo ni uongo uliotukuka

Nakumbuka google walitoa data ya wananchi Kenya wana search vitu gani haswa na ukienda kutafuta hiyo habari gogle saizi utakutana na relianle sources nyingi,sio habari hii uliyoitoa imechapisha na unknown blog moja tu na kabla ya kusearch google kwa kutumia tu akili yangu nikajua haiwezi kuwa kweli
 
Anasa zote zile Dubai kumbe porn huwezi kuangalia?
Ukiwa dubai huwezi ku-access porn sites XXX zote zimekuwa blocked na sio hivyo tu hata WhatsApp calling wame block

Licha ya anasa unazoziona na wageni kibao wameweka censorship hiyo na njia pekee ni mpaka uwe na VPN je risk hiyo unaweza kuifanya

66836c5f5f7fd556927ceca8caac3775.jpg
 
Hii taarifa haihitaji uwe na PhD ugundue kuwa ni ya uongo

nchi nyingi ulizozitaja kuna censorship mfano ukiwa saudi Arabia huwezi kutumia Facebook ,ndio maana huwezi kukuta id za wasaudia haswa wasichana

Pili kuna censorship kibao na huwezi kutizama sababu zipo blocked na mitandao yote ipo blocked

Let say utatumia VPN lakini VPN huko ni illegal na ukikamatwa jela 10yrs na fine mfano mwaka Jana UAE jamaa alihukumiwa kwenda jela kwa kutumia VPN

Yaani nchi ambazo websites zimekuwa blocked na censorship na ni illegal kutumia VPN ndio ziongoze halafu nchi ambazo bundle lako tu unatizama zisiwepo

Nchi kama North Korea,Saudia,Iran, huwezi kunidanganya hizo utazikuta nchi 3 za mwisho zenye kutizama porno sababu kuna censorship,blocked na sheria kibao za Internet

12d4a92c7e12de0599def4a1321d5b73.jpg
 
Mkuu nime check google nimeona ni just blog 1 imechapisha na forums so sio reliable source na ndio maana nikasema ni za ukakasi ,kuna blogs mbona zilimlisha maneno Trump kuwa atawafunga Mugabe na museveni so blogs za mtu sio reliable source na Wikipedia hawajatoa data hzo

Nakupa tu mfano saudia kuzungumza tu siasa mtandaoni jela ,na sites zote za porn zimekuwa blocked ,google watatoaje data za watazamaji wa porn katika nchi hiyo wakati sites zote zimekuwa blocked katika nchi hiyo

Ndio maana nikakuambia haihitaji uwe na PhD kuamini habari hii kutoka kwenye chapisho la blog ya mtu tu,ingekuwa media au site sawa ..yani hapa sijapata tabu kutafuta nilivyoona source ni unknown blog halafu nikichekesha akili kuna sehemu hata Facebook huipata ukiwa kwenye hiyo territory na sites zote huzipati halafu iongoze kuwa na takwimu ya watazamaji walio wengi huo ni uongo uliotukuka

Nakumbuka google walitoa data ya wananchi Kenya wana search vitu gani haswa na ukienda kutafuta hiyo habari gogle saizi utakutana na relianle sources nyingi,sio habari hii uliyoitoa imechapisha na unknown blog moja tu na kabla ya kusearch google kwa kutumia tu akili yangu nikajua haiwezi kuwa kweli

Mkuu wewe ni muarab?
 
Ukiwa dubai huwezi ku-access porn sites XXX zote zimekuwa blocked na sio hivyo tu hata WhatsApp calling wame block

Licha ya anasa unazoziona na wageni kibao wameweka censorship hiyo na njia pekee ni mpaka uwe na VPN je risk hiyo unaweza kuifanya

66836c5f5f7fd556927ceca8caac3775.jpg
Duh sasa mkuu watu DUBAI wanaipendeaga nini? Kuna hata sehemu unaweza pata Malaya wanaojiuza Kwa hali hiyo?
 
Stak.kuamin kama Tanzania
Na Kenya hazpo
 
Tanzania tumekosekana hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli sahizi watu wako bize kutafuta hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Du!!! Tumekosa!! Hoi list itakuwa feck hii.
 
Back
Top Bottom