Mkuu nime check google nimeona ni just blog 1 imechapisha na forums so sio reliable source na ndio maana nikasema ni za ukakasi ,kuna blogs mbona zilimlisha maneno Trump kuwa atawafunga Mugabe na museveni so blogs za mtu sio reliable source na Wikipedia hawajatoa data hzo
Nakupa tu mfano saudia kuzungumza tu siasa mtandaoni jela ,na sites zote za porn zimekuwa blocked ,google watatoaje data za watazamaji wa porn katika nchi hiyo wakati sites zote zimekuwa blocked katika nchi hiyo
Ndio maana nikakuambia haihitaji uwe na PhD kuamini habari hii kutoka kwenye chapisho la blog ya mtu tu,ingekuwa media au site sawa ..yani hapa sijapata tabu kutafuta nilivyoona source ni unknown blog halafu nikichekesha akili kuna sehemu hata Facebook huipata ukiwa kwenye hiyo territory na sites zote huzipati halafu iongoze kuwa na takwimu ya watazamaji walio wengi huo ni uongo uliotukuka
Nakumbuka google walitoa data ya wananchi Kenya wana search vitu gani haswa na ukienda kutafuta hiyo habari gogle saizi utakutana na relianle sources nyingi,sio habari hii uliyoitoa imechapisha na unknown blog moja tu na kabla ya kusearch google kwa kutumia tu akili yangu nikajua haiwezi kuwa kweli