Idadi ya nchi zinazotangaza kutambua taifa la Palestina inaendelea kuongezeka, ambapo zaidi ya mataifa 145 sasa yanatoa wito wa kutambuliwa kwake kimataifa
Nchi nyingi zilizotambua taifa la Palestina zilifanya hivyo mwaka 1988, baada ya Baraza la Kitaifa la Palestina kutangaza rasmi kuanzishwa kwa taifa hilo. Baada ya hapo, mataifa mengine mengi yasiyo ya Magharibi yalifuata katika miaka ya 1990, 2000 na 2010
Mwaka 2024, mataifa zaidi ya Ulaya na Karibiani yalitangaza kulitambua taifa la Palestina, yakiwemo Barbados, Ireland, Jamaica, Norway na Hispania. Wakati huo, Waziri Mkuu wa Ireland, Simon Harris, alimwomba Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, “kusikiliza sauti ya dunia na kusitisha janga la kibinadamu linaloendelea kushuhudiwa Gaza.”
Hivi karibuni, Australia, Canada na Ufaransa zimetangaza mipango ya kulitambua taifa la Palestina katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Septemba. Wakati huohuo, Uingereza imesema italitambua taifa la Palestina iwapo Israel haitatimiza masharti, yakiwemo kukubali kusitisha mapigano Gaza
Matamko haya mapya yanazidi kuiacha Marekani ikiwa kujitenga na baadhi ya washirika wake wa karibu kuhusu msimamo wa Israel na namna inavyotekeleza operesheni zake za kijeshi pamoja na vikwazo vya misaada.
====
A growing number of countries are pledging to recognize a Palestinian state, with more than 145 nations now joining the call for international recognition.
Most of the nations that recognize a State of Palestine did so in 1988, following the Palestine National Council's declaration of the state. Many other non-Western states followed suit in the 1990s, 2000s and 2010s.
In the spring of 2024, more European and Caribbean nations recognized a Palestinian state, including Barbados, Ireland, Jamaica, Norway and Spain. At the time, Irish Prime Minister Simon Harris called on Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu "to listen to the world and stop the humanitarian catastrophe we are seeing in Gaza."
Most recently, Australia, Canada and France announced plans to recognize a Palestinian state at the United Nations General Assembly meeting in September. Meanwhile, the United Kingdom has conditionally said it will recognize a Palestinian state if Israel does not meet criteria that include agreeing to a ceasefire in Gaza.
Those recent announcements leave the United States increasingly isolated from some of its closest allies on the issue of Israel and how it has conducted its military campaign and aid restrictions.
Source: CNN