Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi?
Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge lake kila sehem amejisimika kila sector kajiwekea yeye aibee.