Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Halafu wanafamilia,wanaongea pumba Hadi wanasahau!Real wala sina salamu
CCM na watu wake ni wanaa kichizi
Sijapata kuona wanafiki kama wanaccm.
Wao wenyewe wametuleea Nchimbi
Wakampamba weee oo ndio chaguo letu oo anakijua chama o sijui amekulia ndani ya CHAMA
SASA BAADA TUU KUJIUZULUU .
WAMEJIFUNGIA SIJUI HATA WAMEJIKUSANYA SAA NGAPI.
Wamekuja na Jamaa yetu wa Ddm
Sasa ivi ooo ni mzuri .oo haumizi watu ooo sijuii
Kaaa nao mbali haw jamaaa maaan ni wanafikia vibaya sana.
Pinga kwa hoja
Mwisho nimemsikia yule jama sijui ni wa Jumuya w Wazazi leusi flani
Jana ameongea vitu vya kijinga sana
Eti ukitaka kuu nyoka mpige kichwa
Kwa tafsri yangu ndogo wapo wengine ndani ya Ccm.
Wanafikii tuu na hawanaga hata diri wal direction
Kupambwa na kuasi vinahusianaje?Real wala sina salamu

Real wala sina salamu

yaani mlitegemea ccm wamtetee nchimbi ? hv unajua nguvu ya chairman ? ccm wanafiki?Nchimbi sio mbaya kivile ndani ya chama chake, bungeni pangeibuka pande mbili za kumuunga mkono na kumpinga ila wanaomuunga mkono wamenywea kulinda maslahi yao binafsi na kuogopa kushughulikiwa ikibadi wapige kura za ndio kinafiki. Nchimbi ni kiongozi wa ngazi ya juu hawezi kuwa against odds peke yake ndani ya chama bila kuwa na backup. Hata kama wanaogopa migawanyiko ndani ya chama ukweli utaendelea kuwa ukweli na utajitenga na unafiki
Mkuu siyo kila nchi ina unafiki wa kiwango cha Bongo. Tanzania ni level nyingine halafu siku hizi hakuna tena aibu kwenye siasa. Wanajua wananchi wengi hawajielewi, wapo wapotu ndiyo ndiyo maana imekuwa hivi.Siku zote siasa ni unafiki mtupu, huinua na hushusha. Wamempamba na kumuinua deo kinafiki. Wakampigia kura ya kumuidhinisha kwa 100% bila hata kura moja kuharibika.
Napingana na wewe kusema wananchi wengi hawajielewi labda kama unajizungumzia wewe na watu wako. Wananchi wanajielewa sana ni vile hawa wehu wanatumia nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama, kifupi mtutu wa bunduki.Mkuu siyo kila nchi ina unafiki wa kiwango cha Bongo. Tanzania ni level nyingine halafu siku hizi hakuna tena aibu kwenye siasa. Wanajua wananchi wengi hawajielewi, wapo wapotu ndiyo ndiyo maana imekuwa hivi.
Asante sana sana kwa kurahisha dhana yangu! Wananchi wako wangapi vs vyombo vya ulinzi na usalama? Mazee, usiniambie una akili za nyumbu 1000 kumkimbia simba mmoja! Huko ndiko kutojielewa sasa. KUTOJIELEWA = kutojua ufanye nini japo una uwezo wa kutatua tatizo. Kwa taarifa: Historia inaonyesha pale wananchi wanapoungana pamoja (kama wanajielewa) hakuna anayeweza kuwazuia.Napingana na wewe kusema wananchi wengi hawajielewi labda kama unajizungumzia wewe na watu wako. Wananchi wanajielewa sana ni vile hawa wehu wanatumia nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama, kifupi mtutu wa bunduki.
the chapter reveal that tumeona kwa NchimbiUkiwa madarakani watakusifu na kukupamba ukitoka tu au ukaenguliwa wanaanza kukusagia kunguni, hao ni wafwata upepo na tune, ni wanafki waliokubuhu, wako tayari hata kukana mama zao au baba zao ili waendelee kubaki madarakani
Inasikitisha kwa kwelithe chapter reveal that tumeona kwa Nchimbi
Real wala sina salamu
CCM na watu wake ni wanaa kichizi
Sijapata kuona wanafiki kama wanaccm.
Wao wenyewe wametuleea Nchimbi
Wakampamba weee oo ndio chaguo letu oo anakijua chama o sijui amekulia ndani ya CHAMA
SASA BAADA TUU KUJIUZULUU .
WAMEJIFUNGIA SIJUI HATA WAMEJIKUSANYA SAA NGAPI.
Wamekuja na Jamaa yetu wa Ddm
Sasa ivi ooo ni mzuri .oo haumizi watu ooo sijuii
Kaaa nao mbali haw jamaaa maaan ni wanafikia vibaya sana.
Pinga kwa hoja
Mwisho nimemsikia yule jama sijui ni wa Jumuya w Wazazi leusi flani
Jana ameongea vitu vya kijinga sana
Eti ukitaka kuu nyoka mpige kichwa
Kwa tafsri yangu ndogo wapo wengine ndani ya Ccm.
Wanafikii tuu na hawanaga hata diri wal direction
Na kwenye CCM wanaongozaa kuwa wanafaki na machawa na Wachawi wanaongozaa ni watu wenye asili Kanda ya Ziwa ukiacha mkoa wa Kagera
Mafano sijui Makonda,msukuma ,cheki akina biteko akina bash wana hawa kichizi