masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Hotuba aliyotoa Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi jana kwa vikundi vya wanaharakati na viongozi wengine ni nyundo.
Nyundo hii ni eye opener.
Nchimbinkatema che che ambazo hata wana CCM wanagwaya.
Lakini all in all kasema ukweli mtupu bila ule unafiki wa akina Wasira ambso tumeuzoea.
Kwa upande wangu nampa bigbup Dr Emmanuel Nchimbi kwa kusema ukweli ambao unatskiwa ufanyiwe kazi.