Pre GE2025 Nchimbi alipewa onyo kali huku wengine wakifuzwa uanachama kwa kumkataa Magufuli na Samia 2015. Kupitishwa kama Mgombea Mwenza wa Samia ni Mtego?

Pre GE2025 Nchimbi alipewa onyo kali huku wengine wakifuzwa uanachama kwa kumkataa Magufuli na Samia 2015. Kupitishwa kama Mgombea Mwenza wa Samia ni Mtego?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hio nafasi kaipata baada ya kufanya ukachero mzuri kwa Lowasa hakumfata kwa mapenzi ilikuwa amri ya muajiriwa wake aliepo Msonga.
Wengi hawaelewi CCM chama kikubwa kina mengi.Kuyajua lazima uwe mtu wa ndani sana ya chama sio wa juu juu tu
 
CCM isipoleta majibu ya matatizo yanayoikabili Watanganyika isitegemee kushinda hata Kwa kuiba kura haitashinda,coz kiroho isha,,,,,,
 
Back
Top Bottom