S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Feb 12, 2025 #41 Killa Cam said: Hio nafasi kaipata baada ya kufanya ukachero mzuri kwa Lowasa hakumfata kwa mapenzi ilikuwa amri ya muajiriwa wake aliepo Msonga. Click to expand... Wengi hawaelewi CCM chama kikubwa kina mengi.Kuyajua lazima uwe mtu wa ndani sana ya chama sio wa juu juu tu
Killa Cam said: Hio nafasi kaipata baada ya kufanya ukachero mzuri kwa Lowasa hakumfata kwa mapenzi ilikuwa amri ya muajiriwa wake aliepo Msonga. Click to expand... Wengi hawaelewi CCM chama kikubwa kina mengi.Kuyajua lazima uwe mtu wa ndani sana ya chama sio wa juu juu tu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Feb 12, 2025 #42 Nanye Go said: Ukitaka kuua nyoka, huwa wanaponda kichwa. Maana yake hakuna tena atakayeibuka na hoja hiyo, adhabu yake wameshaiona. Click to expand... Sema ni waoga na wanafiki Sana
Nanye Go said: Ukitaka kuua nyoka, huwa wanaponda kichwa. Maana yake hakuna tena atakayeibuka na hoja hiyo, adhabu yake wameshaiona. Click to expand... Sema ni waoga na wanafiki Sana
Boay Hotay Senior Member Joined Jul 8, 2023 Posts 103 Reaction score 142 Feb 12, 2025 #43 CCM isipoleta majibu ya matatizo yanayoikabili Watanganyika isitegemee kushinda hata Kwa kuiba kura haitashinda,coz kiroho isha,,,,,,
CCM isipoleta majibu ya matatizo yanayoikabili Watanganyika isitegemee kushinda hata Kwa kuiba kura haitashinda,coz kiroho isha,,,,,,