baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Nchimbi tumepiga kelele sana mwachieni Emanuel Nchimbi aya mambo yanaongeza mpasuko kwenye jamii CCM hawa wamekua kama makasuku wao kabisa wamegoma kutumia akili zao kabisa kisa ulafi wa fedha na madaraka.
Sasa Nchimbi kuoneka walitaka hiwe kete ya kuitumia kitu ambacho sio sawa huyu mtu tumepiga kelele mno mwachieni hii Nchi yetu sote heti leo wana CCM wanaona furaha kufanya propagada ya nchimbi kuonekana kwa hiyo Nchimbi mnajua ana Infulence mkataka kuitumia sisi tulijua ilo mapema ndo maana kusema tusiongeze mpasuko kwenye Taifa.
Watu leo wanasema udini mimi sio mfuasi sana wa kuzama kwenye dini na kushindwa kutumia akili yangu na kuongozwa na hisia kwenye dini huwa siongozwi na hisia bali akili. Wanaosema TEC wanatumika inamshambulia Samia wale wale wanasahau Samia kaweka wakatoliki wako jela wengine vizuizini tena wenye Infuelence kubwa? Ilo wanakua wanalisahau.