Mama anateseka Sana. Huku anateswa na Tundu Lissu, huku anateswa na Nchimbi, huku antenna na damu za mwezi October mwaka jana.Nchimbi tumepiga kelele sana mwachieni Emanuel Nchimbi aya mambo yanaongeza mpasuko kwenye jamii CCM hawa wamekua kama makasuku wao kabisa wamegoma kutumia akili zao kabisa kisa ulafi wa fedha na madaraka. Sasa Nchimbi kuoneka walitaka hiwe kete ya kuitumia kitu ambacho sio sawa huyu mtu tumepiga kelele mno mwachieni hii Nchi yetu sote heti leo wana CCM wanaona furaha kufanya propagada ya nchimbi kuonekana kwa hiyo Nchimbi mnajua ana Infulence mkataka kuitumia sisi tulijua ilo mapema ndo maana kusema tusiongeze mpasuko kwenye Taifa. Watu leo wanasema udini mimi sio mfuasi sana wa kuzama kwenye dini na kushindwa kutumia akili yangu na kuongozwa na hisia kwenye dini huwa siongozwi na hisia bali akili. Wanaosema TEC wanatumika inamshambulia Samia wale wale wanasahau Samia kaweka wakatoliki wako jela wengine vizuizini tena wenye Infuelence kubwa? Ilo wanakua wanalisahau.
Mama anateseka Sana. Huku anateswa na Tundu Lissu, huku anateswa na Nchimbi, huku antenna na damu za mwezi October mwaka jana.
Anadhani kadiri anavyowatesa wakosoaji wake atapata nafuu, kumbe ndio maumivu na mateso yake yanavyozidi kuongezeka
Muoneeni mama huruma tu yuko undersiege na deepstate. Angekuwa jasiri tu hajiuzuru na kuwaomba msamaha watanzania. Na nina uhakika alishataka kujiuzulu wakamchimbia biti kali.Mama anateseka Sana. Huku anateswa na Tundu Lissu, huku anateswa na Nchimbi, huku antenna na damu za mwezi October mwaka jana.
Anadhani kadiri anavyowatesa wakosoaji wake atapata nafuu, kumbe ndio maumivu na mateso yake yanavyozidi kuongezeka