Nchimbi amtembelea na kumjulia hali Makamu wa Rais Mstaafu Mohamed Gharib

Nchimbi amtembelea na kumjulia hali Makamu wa Rais Mstaafu Mohamed Gharib

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal, katika makazi yake Masaki Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 02 Januari 2026.
1767377967755.png


1767377994649.png
 
Hivi ni mzanzibari? Kwanini wazanzibari hupenda kuishi tanganyika baada ya kustaafu?
Mwenyewe nimeshangaa sana kujua yupk bara. Ama walimleta tu asalimiwe. Sio rahisi mtu kama Ghalib aamue kuishi Dar, wakati Zanzibar ni nzuri zaidi chini ya Mwinyi
 
Huyu mwamba nilifikiri ameshatangulia kitambo! Kumbe bado anadunda!

Mwenye taarifa za Dr. Salim Ahmed Salim tafadhari. Hivi bafo yupo hai, au alishatembea kitambo tu!
 
Back
Top Bottom