ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Inashangaza sana hawa jamaa kutwa kuibagaza Tanganyika. Ila wakistaafu hawataki kwenda kuishi KisiwanduiHivi ni mzanzibari? Kwanini wazanzibari hupenda kuishi tanganyika baada ya kustaafu?
KutamuHivi ni mzanzibari? Kwanini wazanzibari hupenda kuishi tanganyika baada ya kustaafu?
Mtaalamu wa nyuklia wa kukariri auMtaalamu wa nyuklia, aachie huo ujuzi kwa vijana
Mwenyewe nimeshangaa sana kujua yupk bara. Ama walimleta tu asalimiwe. Sio rahisi mtu kama Ghalib aamue kuishi Dar, wakati Zanzibar ni nzuri zaidi chini ya MwinyiHivi ni mzanzibari? Kwanini wazanzibari hupenda kuishi tanganyika baada ya kustaafu?