Nchimbi anaweza kututajia watekaji wote kwa majina

Vijana kama wewe ni takataka kabisa.
Hamna hoja kila siku oooh utekaji utekaji.
Kama una element za kuharibu hii nchi ya amani kwa kisingizio cha haki lazima utekwe na upotezwe.
Mtu mmoja au watu mia wakizingua watapotezwa kabisa ili watu million 70 wawe salama.
Huo ndio mfumo wa usalama Tanzania. Hata Heche leo akiwa Rais lazima ataambiwa namna huu mfumo wa ulinzi na usalama wa Tanzania ulivyo
 
Sawa
 
Element zipi kenge wewe
Mbona masifadi, ambao waliambiwa wazomewe waone aibu hawamalizwi?
Mnahubiri aman ili muendlee kuwachezesha wa tz mnavyotaka?
Amani ndio wiimbo wa kujifuchia ili mfanye maovu yenu mbwa wewe
 
Kwa hiyo huo mfumo unaukubali? Na kwa nini ni miaka 15 tu hii ndio kutekana na kuuana kumeshamiri? Mbona nchi nyingine zina mifumo mizuri ya usalama isiyowadhuru wananchi? Tunabidi tubadilike
 
Mnatajataja AMANI ili kututia hofu.

Mnaitumia amani tuliyonayo kutuumiza....
 
Ili waliobaki,wabaki na Hofu! Hakuna Haki hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…