Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi gani? Hii ni wake up call,Katiba haitopatikana bila mnyukano mkali na mtu huyu asiyependa katiba Mpya ipatikane.
Mbinu tu hizoNyingi huyo
Ili tumuamini ajiuzulu
Andika vitu vinavyoelewekaShida nchi imekosa chambo kwa group ndio maana wanatumia watu kuwapa kesi za ugaidi kama walivyo fanya znz.Hi history kuna siku mtaeleza maana znz wanarudisha kuitawala nchi na mtaniambia
Kwani hupo taasisi gani maana kila nikikuangalia kama ni kikundi cha mwenyekiti UVCCM.nita kuumbuaAndika vitu vinavyoeleweka
Mimi nakuomba ligi na wewe usikuAndika vitu vinavyoeleweka
Mda huu hupo wapiAndika vitu vinavyoeleweka
Nataka niweke wazi uje kujigamba mda huu 10:29Andika vitu vinavyoeleweka
Upo vs hupoMda huu hupo wapi
We ukiona ila karibu kwangu wala.Unacho kitafuta sijui maneno ila karibu naona umekosa la kuongeaUpo vs hupo
Ndio uandishi gani huuShida nchi imekosa chambo kwa group ndio maana wanatumia watu kuwapa kesi za ugaidi kama walivyo fanya znz.Hi history kuna siku mtaeleza maana znz wanarudisha kuitawala nchi na mtaniambia
IKIWA ni hivyo itakuwa heriNchimbi hayupo mwenyewe kwanza tukumbuke alianza kuwatembelea wazee wastafu huko alipata baraka zote juu ya jambo hili wazee wameona mbali tanzania ikiendelea kutumia katiba hii ni ngumu kutoboa, kumbekeni kile alichosema Riziwan juu ya katiba. Wazee wanajaribu kuliokoa taifa hiki Nchimbi katumika kutuma salam zao
ROSTAM AZIZI NA WAHUNI WENZIE NDIYO SABABU KUU TAIFA KUKWAMA ...HAKUNA KATIBA YA KWELI NA YA HAKI ITSKAYO PATIKANA TANZANIA KAMA HUYU MUHUNI NA MUHALIFU ATAKUWA HAI.Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,
Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi gani? Hii ni wake up call,Katiba haitopatikana bila mnyukano mkali na mtu huyu asiyependa katiba Mpya ipatikane.
Umerudi kwenye ID nyengineNdio uandishi gani huu