Nchimbi aomba nguvu ya Umma kupata katiba Mpya

Nchimbi aomba nguvu ya Umma kupata katiba Mpya

ID moja Moderator zina tumia email moja
Screenshot_20260725-225357.png
Screenshot_20260725-225337.png
 
Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,

Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi gani? Hii ni wake up call,Katiba haitopatikana bila mnyukano mkali na mtu huyu asiyependa katiba Mpya ipatikane.
Anataka kuwaanyoosha wenzako
 
Back
Top Bottom