Nchimbi bado anaomboleza kufukuzwa kazi

Nchimbi bado anaomboleza kufukuzwa kazi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Wengine wanasema Nchimbi amekwenda vakesheni Afghanistan.

Wengine wanasema Nchimbi yuko katika detention.
Ambako wanamwambia:

"Listen,you are a nice guy and we don't want to harm you . Tutakuachia huru sasa hivi kama ukisema Rais Samia ni kiongozi safi."

Sasa inasemekana Nchimbi hataki kufanya jambo lolote ambalo litafanya aitwe " chawa".
Sasa,I don't want to comment about this.

Lakini,ninavyofahamu,ukitaka kuwa na afya,kuna mambo fulani lazima ufanye. The laws of nature,they are called,which determine what sort of body a person will have.

Likewise,zipo laws of life,sheria za za maisha,kwamba kama unataka kuishi lazima ufanye hivi. Mtu anakuambia,"If you do this,or if you don't do this we will kill you".
Unatakiwa kufanya nini wakati huo?

Mimi niko tayari kumsifu Samia Kwa niaba yake EN,kama serikali itakubali nimuombee msamaha.
Lakini kama hasira zimekuwa nyingi na wanataka yeye mwenyewe atubu,basi tena.
Jambo la Katiba Mpya sasa hivi ni irrelevant.
Muhimu sasa hivi ni kufanya tu Mkutano wa maridhiano.
Kuhusu watu kuwajibishwa,this is something which may have to wait until the dust settles.
 
Tatizo Wachochezi wanatafuta Sababu yoyote wapate kuongea

Sasa Ajabu wanataka Emanuel Nchimbi. Sijui
Atoke
aende wapi

Aseme unataka kusikia nini kutoka kwake ‼️

Akishasema chochote nani mwenye kupata faida❗️
wewe ‼️au yeye❗️

kama sio yeye
kwanini asumbuke kutafuta Janga kuongea kipindi ichi kigumu kwake

baada ya kuondoka
ofisini
❗️

Watanzania ni watu wenye kupenda kujibiwa kinachowatatiza

Lkn hawataki kuwaza👈
upande ule
Utapata nini ikiwa utaongea

icho kwao hakina maana yoyote 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Nchimbi yupo Salama pamoja na familia yake👈

lkn hataki kuonana na yoyote
Kipindi ichi kigumu
kwake 👈

Lkn Wachochezi wanataka
kuonananae kivyovyote👈

lengo kisha waongee kwaniaba yake !!
wawavutie media!!

lkn Upumbavu kile wanataka kuongea hakiwezi kudhidishq MOTO wasasa ¿¿¿¿¿¿

Ilo kwa akili za wana alakati wa kwetu alipo kabisa ❗️👈
Kwake ni fursa tu kuonana na Nchimbi
kujiongezea Ushawishi kipindi ichi✍️
 
Hata ingekuwa nimimi Nchimbi ningepiga kimyaa sitaki kuongea kuonana na Pumbavu yoyote

Kuonana kwao hakuna Msaada kwangu
Zaidi ya kuniongezea MOTO Majanga akiwa atasema kwaniaba yangu baada kuniona✍️
 
Tatizo Wachochezi wanatafuta Sababu yoyote wapate kuongea

Sasa Ajabu wanataka Emanuel Nchimbi. Sijui
Atoke
aende wapi

Aseme unataka kusikia nini kutoka kwake ‼️

Akishasema chochote nani mwenye kupata faida❗️
wewe ‼️au yeye❗️

kama sio yeye
kwanini asumbuke kutafuta Janga kuongea kipindi ichi kigumu kwake

baada ya kuondoka
ofisini
❗️

Watanzania ni watu wenye kupenda kujibiwa kinachowatatiza

Lkn hawataki kuwaza👈
upande ule
Utapata nini ikiwa utaongea

icho kwao hakina maana yoyote 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Mauaji nyie sidhani kama mzee wenu yuko salama! Lakini mtajua wenyewe maana hiyo dhambi inayowatafuna, hata wewe utafikiwa kwa wakati wako subiria tu, alikuwepo tlaatlaa humu, ulikuwq humkosi kila uzi yupo! sasa sijui yuko wapi nae? alikuwa haambiliki kama wewe anakera anaudhi hajari kabisa uhai wa wenzie.
 
Hakuna ndugu yoyote kadai mh Nchimbi wanamtafuta au ayupo kwenye macho yao✍️
 
Mauaji nyie sidhani kama mzee wenu yuko salama! Lakini mtajua wenyewe maana hiyo dhambi inayowatafuna, hata wewe utafikiwa kwa wakati wako subiria tu, alikuwepo tlaatlaa humu, ulikuwq humkosi kila uzi yupo! sasa sijui yuko wapi nae? alikuwa haambiliki kama wewe anakera anaudhi hajari kabisa uhai wa wenzie.

Nyinyi ndio Wachochezi mnajidai kumpenda kinafki

Emanuel Nchimbi ni zawadi kwa familia yake wenye familia yao hawajalalamiko kumkosa ndugu
Yao Baba yao!

Nyinyi kwanini msifanye kazi zengine lengo lenu nini kwa ile Familia‼️
 
Tanzania Rais na Makamu Rais ni watu muhimu sana

Hawawezi kusumbuliwa na Mahakama au popote
Nyinyi pigeni ngoma zenu za Uchochezi mtacheza
wenyewe ✍️
 
Ndio maana watu wanakupopoa.

NILITEGEMEA UNGEJIKITA KUJADILI.

1. Udhaifu wa katiba ya Tanzania
2. Ukatili wa Selikali ya CCM.
3. Ungefananisha CCM ya Baba yako na hii ya sasa ya chama Dola.
4.Hasara tunayoipata kama Taifa.
5. Nini kifanyike ili kama Taifa tutoke hapa tulipo

"Baba yako aliwahi kusema kwa katiba hii inampa nguvu kubwa sana Rais hadi ya kuwa Rais Dikteta
".

Wewe umeshangilia sana Nchimbi kushikiwa Bastola Ajiudhuru kwasababu umekaaa ki ombaomba ulitegemea Msaada na Shukrani kutoka kwake.

WEWE NI BWEGE LA TAIFA UTASUBIRI SANA.
 
Tatizo Wachochezi wanatafuta Sababu yoyote wapate kuongea

Sasa Ajabu wanataka Emanuel Nchimbi. Sijui
Atoke
aende wapi

Aseme unataka kusikia nini kutoka kwake ‼️

Akishasema chochote nani mwenye kupata faida❗️
wewe ‼️au yeye❗️

kama sio yeye
kwanini asumbuke kutafuta Janga kuongea kipindi ichi kigumu kwake

baada ya kuondoka
ofisini
❗️

Watanzania ni watu wenye kupenda kujibiwa kinachowatatiza

Lkn hawataki kuwaza👈
upande ule
Utapata nini ikiwa utaongea

icho kwao hakina maana yoyote 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Are you really that stupid or just pretending to be one? Rafiki zake ambao huwa wanachat naye wanakwambia namba zake zote hazipatikani, kwenye jumuia na kanisani hafiki na alikuwa ni regular na alishazoeleka hivyo, watu wana hofu wakifikiria Samia alivyomfanya Polepole and the list of unknowns is endless sasa hapo unless kwa wanaohusika au wanaofurahia Ima kutekwa/kuuawa/kuwekwa detention ndiyo hawatataka well-wishers kuchimbua about what's poppin'.
 
Nyinyi ndio Wachochezi mnajidai kumpenda kinafki

Emanuel Nchimbi ni zawadi kwa familia yake wenye familia yao hawajalalamiko kumkosa ndugu
Yao Baba yao!

Nyinyi kwanini msifanye kazi zengine lengo lenu nini kwa ile Familia‼️
What are you truly of? Hata supporters wake wana haki ya kudodosa ni kipi kinachoendelea na kama haikuathiri kwa lolote kwanini unahaha and acting stupidly defensive?
 
Back
Top Bottom