Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Wengine wanasema Nchimbi amekwenda vakesheni Afghanistan.
Wengine wanasema Nchimbi yuko katika detention.
Ambako wanamwambia:
"Listen,you are a nice guy and we don't want to harm you . Tutakuachia huru sasa hivi kama ukisema Rais Samia ni kiongozi safi."
Sasa inasemekana Nchimbi hataki kufanya jambo lolote ambalo litafanya aitwe " chawa".
Sasa,I don't want to comment about this.
Lakini,ninavyofahamu,ukitaka kuwa na afya,kuna mambo fulani lazima ufanye. The laws of nature,they are called,which determine what sort of body a person will have.
Likewise,zipo laws of life,sheria za za maisha,kwamba kama unataka kuishi lazima ufanye hivi. Mtu anakuambia,"If you do this,or if you don't do this we will kill you".
Unatakiwa kufanya nini wakati huo?
Mimi niko tayari kumsifu Samia Kwa niaba yake EN,kama serikali itakubali nimuombee msamaha.
Lakini kama hasira zimekuwa nyingi na wanataka yeye mwenyewe atubu,basi tena.
Jambo la Katiba Mpya sasa hivi ni irrelevant.
Muhimu sasa hivi ni kufanya tu Mkutano wa maridhiano.
Kuhusu watu kuwajibishwa,this is something which may have to wait until the dust settles.
Mauaji nyie sidhani kama mzee wenu yuko salama! Lakini mtajua wenyewe maana hiyo dhambi inayowatafuna, hata wewe utafikiwa kwa wakati wako subiria tu, alikuwepo tlaatlaa humu, ulikuwq humkosi kila uzi yupo! sasa sijui yuko wapi nae? alikuwa haambiliki kama wewe anakera anaudhi hajari kabisa uhai wa wenzie.Tatizo Wachochezi wanatafuta Sababu yoyote wapate kuongea
Sasa Ajabu wanataka Emanuel Nchimbi. Sijui
Atoke
aende wapi
Aseme unataka kusikia nini kutoka kwake ‼️
Akishasema chochote nani mwenye kupata faida❗️
wewe ‼️au yeye❗️
kama sio yeye
kwanini asumbuke kutafuta Janga kuongea kipindi ichi kigumu kwake
baada ya kuondoka
ofisini
❗️
Watanzania ni watu wenye kupenda kujibiwa kinachowatatiza
Lkn hawataki kuwaza👈
upande ule
Utapata nini ikiwa utaongea
icho kwao hakina maana yoyote 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Mauaji nyie sidhani kama mzee wenu yuko salama! Lakini mtajua wenyewe maana hiyo dhambi inayowatafuna, hata wewe utafikiwa kwa wakati wako subiria tu, alikuwepo tlaatlaa humu, ulikuwq humkosi kila uzi yupo! sasa sijui yuko wapi nae? alikuwa haambiliki kama wewe anakera anaudhi hajari kabisa uhai wa wenzie.
AmenEe Baba Mungu Ninakuomba Umhurumie Ndugu Nchimbi kwa maombezi ya Mama Bikira Maria mfungua vifundo na watakatifu wote kwa Njia ya Kristo Bwana wetu. Amina.
Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja Utuhurumie.
Are you really that stupid or just pretending to be one? Rafiki zake ambao huwa wanachat naye wanakwambia namba zake zote hazipatikani, kwenye jumuia na kanisani hafiki na alikuwa ni regular na alishazoeleka hivyo, watu wana hofu wakifikiria Samia alivyomfanya Polepole and the list of unknowns is endless sasa hapo unless kwa wanaohusika au wanaofurahia Ima kutekwa/kuuawa/kuwekwa detention ndiyo hawatataka well-wishers kuchimbua about what's poppin'.Tatizo Wachochezi wanatafuta Sababu yoyote wapate kuongea
Sasa Ajabu wanataka Emanuel Nchimbi. Sijui
Atoke
aende wapi
Aseme unataka kusikia nini kutoka kwake ‼️
Akishasema chochote nani mwenye kupata faida❗️
wewe ‼️au yeye❗️
kama sio yeye
kwanini asumbuke kutafuta Janga kuongea kipindi ichi kigumu kwake
baada ya kuondoka
ofisini
❗️
Watanzania ni watu wenye kupenda kujibiwa kinachowatatiza
Lkn hawataki kuwaza👈
upande ule
Utapata nini ikiwa utaongea
icho kwao hakina maana yoyote 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
What are you truly of? Hata supporters wake wana haki ya kudodosa ni kipi kinachoendelea na kama haikuathiri kwa lolote kwanini unahaha and acting stupidly defensive?Nyinyi ndio Wachochezi mnajidai kumpenda kinafki
Emanuel Nchimbi ni zawadi kwa familia yake wenye familia yao hawajalalamiko kumkosa ndugu
Yao Baba yao!
Nyinyi kwanini msifanye kazi zengine lengo lenu nini kwa ile Familia‼️