Ni heri kuufia ukweli fullstop, maana hata hao wanao kutaka uwasujudu hapa duniani nao ni wapitaji tu! Wapi nyerere,mwinyi, mkapa,magufuli ? Walioenda pia kusujudiwa lakini wakasahau kuwa na wao hapa ni wapitaji tu wapo njianiWengine wanasema Nchimbi amekwenda vakesheni Afghanistan.
Wengine wanasema Nchimbi yuko katika detention.
Ambako wanamwambia:
"Listen,you are a nice guy and we don't want to harm you . Tutakuachia huru sasa hivi kama ukisema Rais Samia ni kiongozi safi."
Sasa inasemekana Nchimbi hataki kufanya jambo lolote ambalo litafanya aitwe " chawa".
Sasa,I don't want to comment about this.
Lakini,ninavyofahamu,ukitaka kuwa na afya,kuna mambo fulani lazima ufanye. The laws of nature,they are called,which determine what sort of body a person will have.
Likewise,zipo laws of life,sheria za za maisha,kwamba kama unataka kuishi lazima ufanye hivi. Mtu anakuambia,"If you do this,or if you don't do this we will kill you".
Unatakiwa kufanya nini wakati huo?
Mimi niko tayari kumsifu Samia Kwa niaba yake EN,kama serikali itakubali nimuombee msamaha.
Lakini kama hasira zimekuwa nyingi na wanataka yeye mwenyewe atubu,basi tena.
Jambo la Katiba Mpya sasa hivi ni irrelevant.
Muhimu sasa hivi ni kufanya tu Mkutano wa maridhiano.
Kuhusu watu kuwajibishwa,this is something which may have to wait until the dust settles.
Wengine wanasema Nchimbi amekwenda vakesheni Afghanistan.

Ni kweli kabisa naunga mkono hojaLakini,ninavyofahamu,ukitaka kuwa na afya,kuna mambo fulani lazima ufanye. The laws of nature,they are called,which determine what sort of body a person will have.
Yes ila kuna maamuzi ya kike na maamuzi ya kiume, maamuzi ya kike ni kule kukosa msimamo, wanawake huwa wanakaza, wanabana, na wewe ukizizidi kuwabanisha, wanabana, wanabana mwisho wanaachia!, lakini maamuzi ya kiume ni kushikilia msimamo, unakomaa mpaka mwisho!.Likewise,zipo laws of life,sheria za za maisha,kwamba kama unataka kuishi lazima ufanye hivi. Mtu anakuambia,"If you do this,or if you don't do this we will kill you".
Unatakiwa kufanya nini wakati huo?
Kama ni kumsifu tuu Rais Samia, EN amekuwa akimsifu sana, mtu ukifanya kosa na ukaambiwa kosa lako, kama ni kosa kweli, then kukiri kosa na kuomba msamaha ni uungwana, lakini kama unatuhumiwa kwa kosa ambalo hujatenda, kuomba tuu msamaha ili kufurahisha mtu, dhamira yako itakusuta, kuna watu ni watu wa misimamo iliyoonyooka kwenye kweli, wao watasimama na ukweli, kwao ni heri wafe huku wamesimama kusimamia haki, kuliko kuishi huku wamepiga magoti kunyenyekea udhalimu.Mimi niko tayari kumsifu Samia Kwa niaba yake EN,kama serikali itakubali nimuombee msamaha.
Lakini kama hasira zimekuwa nyingi na wanataka yeye mwenyewe atubu
Asante kwa hii para ya mwisho, hizi ni busara za kaka mkubwa.,basi tena.
Jambo la Katiba Mpya sasa hivi ni irrelevant.
Muhimu sasa hivi ni kufanya tu Mkutano wa maridhiano.
Kuhusu watu kuwajibishwa,this is something which may have to wait until the dust settles.
Achana na rafiki, familia wamelalamika hapatikani?Are you really that stupid or just pretending to be one? Rafiki zake ambao huwa wanachat naye wanakwambia namba zake zote hazipatikani, kwenye jumuia na kanisani hafiki na alikuwa ni regular na alishazoeleka hivyo, watu wana hofu wakifikiria Samia alivyomfanya Polepole and the list of unknowns is endless sasa hapo unless kwa wanaohusika au wanaofurahia Ima kutekwa/kuuawa/kuwekwa detention ndiyo hawatataka well-wishers kuchimbua about what's poppin'.
Huyu ndugu amekosea nini kwa kuandika alichoandika?Ndio maana watu wanakupopoa.
NILITEGEMEA UNGEJIKITA KUJADILI.
1. Udhaifu wa katiba ya Tanzania
2. Ukatili wa Selikali ya CCM.
3. Ungefananisha CCM ya Baba yako na hii ya sasa ya chama Dola.
4.Hasara tunayoipata kama Taifa.
5. Nini kifanyike ili kama Taifa tutoke hapa tulipo
"Baba yako aliwahi kusema kwa katiba hii inampa nguvu kubwa sana Rais hadi ya kuwa Rais Dikteta".
Wewe umeshangilia sana Nchimbi kushikiwa Bastola Ajiudhuru kwasababu umekaaa ki ombaomba ulitegemea Msaada na Shukrani kutoka kwake.
WEWE NI BWEGE LA TAIFA UTASUBIRI SANA.
Nchimbi is the public asset. Siyo kama wewe. Anaishi kwa kodi wa wananchi na hivyo tunawajibu wa kujua alipoHata ingekuwa nimimi Nchimbi ningepiga kimyaa sitaki kuongea kuonana na Pumbavu yoyote
Kuonana kwao hakuna Msaada kwangu
Zaidi ya kuniongezea MOTO Majanga akiwa atasema kwaniaba yangu baada kuniona✍️
Nobody knows kama familia wamenyamazishwa(kama mmewanyamazisha) au la so friends and well-wishers have the right to demand for the truth/transparency. Samia kamuua na kumswaga Polepole so she can't be trusted, she can repeat the similar kind of shit to Nchimbi. Prevention is better than cure.Achana na rafiki, familia wamelalamika hapatikani?
Sisiem haoMachoni kama watu Mioyoni hawana
utu✍️
Tatizo Wachochezi wanatafuta Sababu yoyote wapate kuongea
Sasa Ajabu wanataka Emanuel Nchimbi. Sijui
Atoke
aende wapi
Aseme unataka kusikia nini kutoka kwake ‼️
Akishasema chochote nani mwenye kupata faida❗️
wewe ‼️au yeye❗️
kama sio yeye
kwanini asumbuke kutafuta Janga kuongea kipindi ichi kigumu kwake
baada ya kuondoka
ofisini
❗️
Watanzania ni watu wenye kupenda kujibiwa kinachowatatiza
Lkn hawataki kuwaza👈
upande ule
Utapata nini ikiwa utaongea
icho kwao hakina maana yoyote 🤔🤔🤔🤔🤔🤔