Unataka akwambie pesa zake ili iweje nahata ukijua itakusaidia niniGSM kawambia ana sh.ngapi kwenye Akaunti yake au mpaka auze magodoro?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ni kampuni kwanini unabisha au hutaki kukubali? Wachezaji wanakimbia mishahara hakuna msipende kuiga mtakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba inaelekea hakuna gabacholi....Mo ni Mnyaturu au Mnyiramba...tehtehtehteh
Simba ni kampuni kwanini unabisha au hutaki kukubali? Wachezaji wanakimbia mishahara hakuna msipende kuiga mtakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mil.20 kwa Tanzania ni hela ndogo? Acheni dhihaka bwana.Huyo ndio aina ya wachezaji wanaotakiwa hana tamaa ya fedha yeye ANATAMANI kuchezea Yanga tu.View attachment 1298989
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo ana sh ngapi kwenye account yake? Au mpaka awanyonye wafanyakazi wake au auze copy kila anachouza Mzee Bakkresa?
Kwani GSM kuuza magodoro kakopi kwa nani?Ingekuwa hivyo unavyosema basi Bakresa angekuwa Tajiri namba 1 Tanzania,lakini siunajua Mo ni namba ngapiMo ana sh ngapi kwenye account yake? Au mpaka awanyonye wafanyakazi wake au auze copy kila anachouza Mzee Bakkresa?
Mo ana sh ngapi kwenye account yake? Au mpaka awanyonye wafanyakazi wake au auze copy kila anachouza Mzee Bakkresa?
Kampuni ya Simba inafanya biashara gani?Misharaha ya Simba inalipwa na Kampuni au hujui kuwa Simba ni kampuni? Mambo ya kutembeza Bakuli mmebaki Yanga na huyo Gabachori Atachoka ngoja TRA wamkague
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulinganisha na kiwango cha striker Ditram Nchimbi Wa Young Africans Sports Club "The Citizen Team"
Mpuuzi sana kila kitu ana copy Azam. Hana ubunifu
Zile kadi ya shabiki zinazouzwa sio bakuli lililoboreshwa?Misharaha ya Simba inalipwa na Kampuni au hujui kuwa Simba ni kampuni? Mambo ya kutembeza Bakuli mmebaki Yanga na huyo Gabachori Atachoka ngoja TRA wamkague
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadi zenyewe watanunua wangapi hao mbumbumbu?
Dua la.Kuku .............Simba kampuni ya mfukoni mwa Mo, akiamua anaiuwa Mara moja. Wengine nyote including you ni wale wa oya oya hata mambo ya hisa mnayasikia tu, kama mie muongo tusubiri siku moja tutajionea.
Were una hisa za simba sc?