Nchimbi bei poa aenda Yanga kwa milioni 20 tu

Nchimbi bei poa aenda Yanga kwa milioni 20 tu

Hiyo kampuni inajishughulisha na nini zaidi ya kuuza vijezi na michango ya wanachama na viingilio?usinambie kuwa hivyo ndo vimejenga na Mo Arena,,,vitu ambavyo hata yanga wanavyo,au cku hiz mnae kiwanda cha maji ya kunywa?,,huwezi kumkwepa ponjoro kwa namna yyt,eti kampuni,..
Simba ni kampuni kwanini unabisha au hutaki kukubali? Wachezaji wanakimbia mishahara hakuna msipende kuiga mtakufa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo ana sh ngapi kwenye account yake? Au mpaka awanyonye wafanyakazi wake au auze copy kila anachouza Mzee Bakkresa?
Kwani GSM kuuza magodoro kakopi kwa nani?Ingekuwa hivyo unavyosema basi Bakresa angekuwa Tajiri namba 1 Tanzania,lakini siunajua Mo ni namba ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom