Ingependeza kwa kuanzia wapatikane wote waliochukuliwa na wasiojulikana hapo tutaona kipimo cha kuwa usalama wa Mtanzania utawezekana.Yaani ukisikia wanavyohubiri hiyo amani hawa CCM, unabaki unashangaa tu! Kila siku wimbo ni uleule, ila kukemea utekaji uliokithiri aaah! Hivi usalama gani mnaoongelea?
Yaani ukisikia wanavyohubiri hiyo amani hawa CCM, unabaki unashangaa tu! Kila siku wimbo ni uleule, ila kukemea utekaji uliokithiri aaah! Hivi usalama gani mnaoongelea?
Amani kwao ni wananchi wote kufunga midomo yao wakifanya ufisadi na kila aina ya uovu. Infact unatakiwa kusifia.Yaani ukisikia wanavyohubiri hiyo amani hawa CCM, unabaki unashangaa tu! Kila siku wimbo ni uleule, ila kukemea utekaji uliokithiri aaah! Hivi usalama gani mnaoongelea?
Hiyo ni uongo bhanaYaani ukisikia wanavyohubiri hiyo amani hawa CCM, unabaki unashangaa tu! Kila siku wimbo ni uleule, ila kukemea utekaji uliokithiri aaah! Hivi usalama gani mnaoongelea?