Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya???
Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku, ulishuhudia Samia akivunja katiba ya chama chenu na ukazunguka kufanya naye kampeni nchi mzima alafu leo unajifanya una beef naye ๐๐๐
Ni 2026 acha kaole. Wewe ni CCM na utabaki mwanaCCM. Ambianeni kwenye vikao vyenu jioni
Bado tunatafuta miili ya ndugu zetu.