PostGE2025 Nchimbi: Hivi ndivyo waziri mkuu anatakiwa kuwa sio unakuwa dhaifu dhaifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo uliyotoa yale hivi ndivyo Waziri Mkuu anavyotakiwa kuwa sio Waziri Mkuu dhaifu dhaifu naye anaanza kulia... Waziri Mkuu anapewa tatizo anatoa maelekezo palepale"

Hayo ameyasema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Emmanuel Nchimbi baada ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa maagizo kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Kitai-Ruanda mkoani Ruvuma kumalizia kazi ya ujenzi wa barabara hiyo kwa haraka na akionekana amekula fedha hati yake ya kusafiria ikamatwe.

Dkt. Nchimbi ameyasema hayo leo Disemba 16, 2025 aliposhiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama, yaliyofanyika eneo la Ruanda, Mbinga mkoani Ruvuma.
 
Wanataka kuwahada wananchi wa huko maana wanajua uchaguzi utafanyika kuzipa pengo. Na haiweleweki nini kitatokea.
 
Wajuzi wa code wanajua alichomaanisha Nchimbi; inaonesha wengi wanamashaka ya kweli na PM
 
"nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo uliyotoa yale hivi ndivyo Waziri Mkuu anavyotakiwa kuwa sio Waziri Mkuu dhaifu dhaifu naye anaanza kulia... Waziri Mkuu anapewa tatizo anatoa maelekezo palepale"

Hayo ameyasema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Emmanuel Nchimbi baada ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa maagizo kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Kitai-Ruanda mkoani Ruvuma kumalizia kazi ya ujenzi wa barabara hiyo kwa haraka na akionekana amekula fedha hati yake ya kusafiria ikamatwe.

Dkt. Nchimbi ameyasema hayo leo Disemba 16, 2025 aliposhiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama, yaliyofanyika eneo la Ruanda, Mbinga mkoani Ruvuma.
Anamlinganisha na PM gani huyo dhaifu, anayelialia (au aliyekuwa analialia)?
 
Simba,Yanga
Nilichogundua hizi timu ni shida kubwa kuliko CCM. Zina divert mambo mengi sana ya CCM kutoonekana sababu attention ya watu imeelekezwa huko!! Hata mauaji wameyaficha kwa kutotoa pole kwa washabiki wao kufiwa!!
 
Katelephone hakulia.
Hapo anampiga vijembe Mzee Mizengo Pinda alilia tukio flani, nadhani bungeni.
Kweli ishi miaka mingi uyaone.
Leo ndugu Emmanuel wa kumsimanga bosi wake Mizengo?!!!
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom