Wanataka kuwahada wananchi wa huko maana wanajua uchaguzi utafanyika kuzipa pengo. Na haiweleweki nini kitatokea."nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo uliyotoa yale hivi ndivyo Waziri Mkuu anavyotakiwa kuwa sio Waziri Mkuu dhaifu dhaifu naye anaanza kulia... Waziri Mkuu anapewa tatizo anatoa maelekezo palepale"
Hayo ameyasema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Emmanuel Nchimbi baada ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa maagizo kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Kitai-Ruanda mkoani Ruvuma kumalizia kazi ya ujenzi wa barabara hiyo kwa haraka na akionekana amekula fedha hati yake ya kusafiria ikamatwe.
Dkt. Nchimbi ameyasema hayo leo Disemba 16, 2025 aliposhiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama, yaliyofanyika eneo la Ruanda, Mbinga mkoani Ruvuma.
Sure. Huwezi kumwambia mtu ndivyo fulani anavyopaswa kuwa...maana yake kuna ombwe SEHEMUWajuzi wa code wanajua alichomaanisha Nchimbi; inaonesha wengi wanamashaka ya kweli na PM
Oi mwamba NAKUOMBA pmWote wapuuzi tu wanalishana upepo
Umemaliza π―Anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Shida kubwa ya nchi hii Ni mfumo wa CCM, Simba,Yanga na uchawa
Sio mtu siku ccm ikianguka ndio tutajua tulikuwa na nchi ya kipumbavu
Anamlinganisha na PM gani huyo dhaifu, anayelialia (au aliyekuwa analialia)?"nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo uliyotoa yale hivi ndivyo Waziri Mkuu anavyotakiwa kuwa sio Waziri Mkuu dhaifu dhaifu naye anaanza kulia... Waziri Mkuu anapewa tatizo anatoa maelekezo palepale"
Hayo ameyasema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Emmanuel Nchimbi baada ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa maagizo kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Kitai-Ruanda mkoani Ruvuma kumalizia kazi ya ujenzi wa barabara hiyo kwa haraka na akionekana amekula fedha hati yake ya kusafiria ikamatwe.
Dkt. Nchimbi ameyasema hayo leo Disemba 16, 2025 aliposhiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama, yaliyofanyika eneo la Ruanda, Mbinga mkoani Ruvuma.
Majaa liwerCc : katelephone
Side katelephone majaliwaCc : katelephone
Nilichogundua hizi timu ni shida kubwa kuliko CCM. Zina divert mambo mengi sana ya CCM kutoonekana sababu attention ya watu imeelekezwa huko!! Hata mauaji wameyaficha kwa kutotoa pole kwa washabiki wao kufiwa!!Simba,Yanga
Katelephone hakulia.Cc : katelephone
ππππππKatelephone hakulia.
Hapo anampiga vijembe Mzee Mizengo Pinda alilia tukio flani, nadhani bungeni.
Kweli ishi miaka mingi uyaone.
Leo ndugu Emmanuel wa kumsimanga bosi wake Mizengo?!!!