Mzee wa Udambwi
Member
- Feb 26, 2026
- 82
- 237
Katiba inasemaje kama Samia akimteua Makamu wa rais Mwingine baada ya Nchimbi kujiuzulu na Ikatokea Samia kapata changamoto yoyote ya kibinadamu itakayofanya ashindwe kuendelea na majukumu yake na kuacha kiti wazi
Je huyu makamu aliyeteuliwa na akupigiwa kura pamoja na samia j Ataapishwa na kua Rais wa jamuhuri ya Muungano na alupigiwa kura au Uchaguzi utarudiwa?
Je huyu makamu aliyeteuliwa na akupigiwa kura pamoja na samia j Ataapishwa na kua Rais wa jamuhuri ya Muungano na alupigiwa kura au Uchaguzi utarudiwa?