GE2025 Nchimbi kama kajichanganya vile , this goverment will collapse in 3 - 4 years

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
It looks like the Pair wont match well, Najua mmoja ni Mzalendo na Mtu makini mwenye msimamo kwenye masuala muhimu, ila the other partner is the Opposite, Hapo ndo Kazi itakapokuja kuonekana namna ya kucompromise ili Train iendelee na safari hadi Mwisho wa Reli kule Station No. 2030
 
umeboronga kusema nchimbi atakuwa rais wa nje Tanzania

Kwan nchi yetu Ina rais wa nje na wandani serikalini
 
Baada ya uchaguzi wa kujichagua ndio akili zitawarudia wamejipaka kinyesi na wanatoa harufu ambayo haifutiki kwa kuoga, manukato wala lolote! Ni kunuka tu! It's sad ni kama watu wameamua " mtoto kalilia wembe ...."
 
Imma the boy can never be underestimated. He is a cold hearted man like Medvedev or Putin
 
I will be short

Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .

Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .

Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .

Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .

Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .

Nchi yangu good luck huko mbele.
Leta na ushaauri wako kwao kabla maji kuwaafikia shingoni!
 
Imma the boy can never be underestimated. He is a cold hearted man like Medvedev or Putin
You are right, he knows his Party Politics well, and with his experience in Government, I think he can handle the position well, but only if the Msoga genge doesnt interfere them .
 
Sio Nchimbi tu aliyeingia kwenye zizi la nguruwe, yupo pia Asha Migiro.... Naamini ameingia kichwa kichwa bila kutafakari au amelazimishwa na yule Mzee wa kuchekacheka aliyemfungilia marisho kwenye uwanda wa kimataifa.
Asha was a Msoga hand picking, this is fact. She has lost all her respect as an Intellectual and International figure who served to the second highest position as an Assistant Secretary General of the UN Body.
 
Wanaoongea negative hawajaanza kuwepo TZ jana wala juzi tangu miaka ya kabla ya vyama vingi havijaingia.

Prophets of doom tunao wa kutosha sana. Kwa uhakika ni kwamba Samia hapendi makeke mengi anafanya makubwa bila ya kulazimika kujitangaza. Chawa wake kwa sababu wanapata kuendesha maisha kwa kusifia ndio huja kuelezea kipi kilichofanyika katika muda upi.

Usiogope Tanzania ipo katika mikono salama sana. Samia anao washauri ambao kwa bahati nzuri wanajua wanachofanya na wanayemshauri anawasikia na kuwapa uhuru wa kufanya kazi kitaalam.
Sawa mnufaika, ila usiwabeze sana ambao wako nje mfumo. Wewe kula vimba tumbo ukapigwe paipu vizuri.
 
I will be short

Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .

Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .

Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .

Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .

Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .

Nchi yangu good luck huko mbele.
Kilaza wewe hujui chochote!
Siyo "awamtaki"×unapokanusha jambo weka "h", usahihi ni hawamtaki✓.
Acha akili za kijinga za Ki- CHADEMA!
 
Watu wameongeza nchi kwa miaka 60 + halafu bado wanatoa ahadi...hizo ahadi wameshindwa kutimiza kwa miaka yote hiyo bado tu!Hii mi MTU ina tamaa sana - sisi wana mapepo.Hakuna mtu mwenye akili anaweza kuwa CCM. HUYU Ncimbi hata hafananii na kuwa CCM hii - Migiro ndo kazingua sana.
Watu wanaosababisha CCM kubaki madarakani by crooks ni
1.Watumisho wa Umma na mafisadi yalikyoko CCM ambao wanafaidika moja kwa moja
2.Baadhi ya ndugu zetu maskini wa akili na hali walioko vijijini na kwenye slums huko/ uswahili..hawa ndo wanabebwa kams ng'ombe kwenye yale magari ya mizigo.
Mungu atufanyie muujiza hili Taifa
 
Nchimbi aliahidi kuwa Hatakuwa Mshindani wa Mama.
Niseme hatuna Chama! Chama kinatawala kwa Nguvu za Jeshi.
 
Mkuu siyo kweli. Kuna rais alichukiwa nje ya nchi yake kama Mugabe? Mugabe aliwanyanyasa wazungu kwa kuwanyang'anya mali zao, lkn ni mpk wananchi wake walipoamka ndipo akaondolewa.

Samia atamaliza mitano na Abdul (ama kakake Ridhiwani) atapewa urais naye atamaliza miaka 10, kama tutaendelea kulala usingizi.
Kwamba Abdul awe rais?
Labda rais wa nchi nyingine sio ya kwetu.
 
Mkuu siyo kweli. Kuna rais alichukiwa nje ya nchi yake kama Mugabe? Mugabe aliwanyanyasa wazungu kwa kuwanyang'anya mali zao, lkn ni mpk wananchi wake walipoamka ndipo akaondolewa.

Samia atamaliza mitano na Abdul (ama kakake Ridhiwani) atapewa urais naye atamaliza miaka 10, kama tutaendelea kulala usingizi.
Wazimbabwe wanapumulia Afrika Kusini.

Wabongo hawawezi kuishi nje ya TZ.

TZ sigo kama Zimbabwe, ina utajiri mwingi, vikundi vingi vitaanA kila mtu ataanza kuchuma anachojua, Ardhi, madini, gas, misiti, samaki.

Wahuni wataweka kambi porini, wataanza kuchuma bure tu, kwa malipo ya silaha.
 
I will be short

Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .

Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .

Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .

Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .

Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .

Nchi yangu good luck huko mbele.
Baada ya Samia Rais anayekuja hatakuwa mkatoliki. Naomba sana hii kauli itunzwe.
 
Mmeshakata Tamaa mara hii tu? Tunasubiri maamuzi magumu.
 
I will be short

Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .

Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .

Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .

Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .

Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .

Nchi yangu good luck huko mbele.
Sio tena hakuna Uchaguzi Mkuu, bali Serikali ita collapse ndani ya miaka minne? Ahahahahaha!!!
Na bado wajinga nyie!
 
Back
Top Bottom