Msemaji wa Familia
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 875
- 839
Leta na ushaauri wako kwao kabla maji kuwaafikia shingoni!I will be short
Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .
Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .
Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .
Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .
Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .
Nchi yangu good luck huko mbele.
You are right, he knows his Party Politics well, and with his experience in Government, I think he can handle the position well, but only if the Msoga genge doesnt interfere them .Imma the boy can never be underestimated. He is a cold hearted man like Medvedev or Putin
Asha was a Msoga hand picking, this is fact. She has lost all her respect as an Intellectual and International figure who served to the second highest position as an Assistant Secretary General of the UN Body.Sio Nchimbi tu aliyeingia kwenye zizi la nguruwe, yupo pia Asha Migiro.... Naamini ameingia kichwa kichwa bila kutafakari au amelazimishwa na yule Mzee wa kuchekacheka aliyemfungilia marisho kwenye uwanda wa kimataifa.
Sawa mnufaika, ila usiwabeze sana ambao wako nje mfumo. Wewe kula vimba tumbo ukapigwe paipu vizuri.Wanaoongea negative hawajaanza kuwepo TZ jana wala juzi tangu miaka ya kabla ya vyama vingi havijaingia.
Prophets of doom tunao wa kutosha sana. Kwa uhakika ni kwamba Samia hapendi makeke mengi anafanya makubwa bila ya kulazimika kujitangaza. Chawa wake kwa sababu wanapata kuendesha maisha kwa kusifia ndio huja kuelezea kipi kilichofanyika katika muda upi.
Usiogope Tanzania ipo katika mikono salama sana. Samia anao washauri ambao kwa bahati nzuri wanajua wanachofanya na wanayemshauri anawasikia na kuwapa uhuru wa kufanya kazi kitaalam.
Anayepingana na mawazo yako anapigwa paipu!. Akili ndogo za vijana wa kibongo.Sawa mnufaika, ila usiwabeze sana ambao wako nje mfumo. Wewe kula vimba tumbo ukapigwe paipu vizuri.
Kilaza wewe hujui chochote!I will be short
Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .
Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .
Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .
Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .
Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .
Nchi yangu good luck huko mbele.
Kwamba Abdul awe rais?Mkuu siyo kweli. Kuna rais alichukiwa nje ya nchi yake kama Mugabe? Mugabe aliwanyanyasa wazungu kwa kuwanyang'anya mali zao, lkn ni mpk wananchi wake walipoamka ndipo akaondolewa.
Samia atamaliza mitano na Abdul (ama kakake Ridhiwani) atapewa urais naye atamaliza miaka 10, kama tutaendelea kulala usingizi.
Wazimbabwe wanapumulia Afrika Kusini.Mkuu siyo kweli. Kuna rais alichukiwa nje ya nchi yake kama Mugabe? Mugabe aliwanyanyasa wazungu kwa kuwanyang'anya mali zao, lkn ni mpk wananchi wake walipoamka ndipo akaondolewa.
Samia atamaliza mitano na Abdul (ama kakake Ridhiwani) atapewa urais naye atamaliza miaka 10, kama tutaendelea kulala usingizi.
Baada ya Samia Rais anayekuja hatakuwa mkatoliki. Naomba sana hii kauli itunzwe.I will be short
Nchimbi kajichanganya sana . Ni kama yupo peke yake amezungukwa na watu wasio kuwa na mema ya chama , hili swala litamtia matatizoni sana nchombi . Maana lazima ataongea kitu positive tu . Watu awataki hivyo .
Nchimbi ni mtu smart sana . Sema position yake aipo sawa .
Nchimbi ndo atakuwa raisi nje ya tanzania . Maana mama kajikologa huko nje watu awamtaki hata kumsikia . Protest and haters wapo wengi sana .
Sasa nchimbi sijui ataongea nini . Any way yupo . Ila kuna kila sign this goverment will fail and tanzania economy will crash in 3 -4 years .
Watu awana vision ya future governmence . Ila things are not good on the ground .
Nchi yangu good luck huko mbele.
Sio tena hakuna Uchaguzi Mkuu, bali Serikali ita collapse ndani ya miaka minne? Ahahahahaha!!!I will be short