Nchimbi kawa mzalendo kuzidi CDF na IGP hongera nchimbi

Nchimbi kawa mzalendo kuzidi CDF na IGP hongera nchimbi

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,558
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya kwani katika ya sasa inampa Rais mmlaka makubwa sana ambayo anaweza kufanya chochote kile na hakuna wakumpinga sote mashahidi

Mambo ya octoba 29 CDF na IGP si walishiriki hawakuona kabisa wanakiuka viapo vyao kwa maslahi ya kundi chache na mpaka sasa wamekalia viti vyao wanazidi kuangalia madudu yanavyotokea as if hii nchi ni mali ya kundi dogo la watu linaloweza ongoza kundi kubwa la watanzania

CDF mabeyo alikataa kabisa wahuni kubagaza katiba kipindi cha kifo cha magufuli akasimamia kile katiba inataka ila uyu CDF wa sasa mungu anamuona yeye na kizazi chake hii raana watailipia tu hata yule mzee mstaafu aliyewapigisha shoti wenzie nakujoona yeye ndio mwamba hukumu yake yeye na kizazi chake ipo na mungu hatamchukua mpaka ashuhudie na atumikie zambi na mateso aliyowafanyia wenzie hata kufa mpaka balaa kubwa la malipo limkute yeye au kizazi chake na ashuhudie hii ndio raha ya Mungu wewe tendea watu maovu basi mungu atakulipa ukiwa hai unaona
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya kwani katika ya sasa inampa Rais mmlaka makubwa sana ambayo anaweza kufanya chochote kile na hakuna wakumpinga sote mashahidi

Mambo ya octoba 29 CDF na IGP si walishiriki hawakuona kabisa wanakiuka viapo vyao kwa maslahi ya kundi chache na mpaka sasa wamwkalia viti vyao wanazidi kuangalia mdudu yanavyotokea

CDF mabeyo akilataa kabisa wahuni kubagaza katiba kipindi cha kifo cha magufuli akasimamia kile katiba inataka ila uyu CDF wa sasa mungu anamuona yeye na kizazi chake
Kwa ujinga mliofunzwa na lisu kuboshabisha mnaona ndio uzalendo

USSR
 
Back
Top Bottom