Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya kwani katika ya sasa inampa Rais mmlaka makubwa sana ambayo anaweza kufanya chochote kile na hakuna wakumpinga sote mashahidi
Mambo ya octoba 29 CDF na IGP si walishiriki hawakuona kabisa wanakiuka viapo vyao kwa maslahi ya kundi chache na mpaka sasa wamwkalia viti vyao wanazidi kuangalia mdudu yanavyotokea
CDF mabeyo akilataa kabisa wahuni kubagaza katiba kipindi cha kifo cha magufuli akasimamia kile katiba inataka ila uyu CDF wa sasa mungu anamuona yeye na kizazi chake