Tetesi: Nchimbi na Makalla Jiandaeni hamtakiwi CCM, Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro na Musiba kuwa mkuu wa mkoa wa Mara

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM, na Polepole Humphrey atakuwa Waziri wa Tamisemi.

Dr Bashiru Ally kuwa waziri wa Mambo ya ndani na Ally Happi atatolewa Chamani na kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha
 
Hii imekaa vizuri!
 
SUKUMA GANG/MATAGA katika ubora wako. Hao vibaka unataka warudi ktk uongozi ili walete mabadiliko gani chanya?
 
Nadhani awamu hii imechukua tuzo kwa weka toa
Ila pia impact ni ndondondo ni chururur
 
Hata maghufuli afufuke na kurudi kugombea 2025 ,kipigo kipo palepale ccm inaondoka 2025 ,uchaguzi ukifanyika
 
Ngoma ikilia sana...........

Tupe idadi ya tabiri zako humu JF zilizowahi kutimia ili tukuaminišŸ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…