Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ni wewe wasema,kwa ujinga wako,E Nchimbi ndiye makamu wetu wa rais,hakuna kijana aliyepitia chipukizi atahadaika na ujinga ujinga wa chadema./bongo nyosso.... Jamaa hawakutaki
Mbona hata sasa mnamuita Yuda!Ni wewe wasema,kwa ujinga wako,E Nchimbi ndiye makamu wetu wa rais,hakuna kijana aliyepitia chipukizi atahadaika na ujinga ujinga wa chadema./
Chadema ni wajinga sana mnaona mchonganishe nyadhfa au mamlaka ili hali iwe mbaya,mmesha fail mapema sana.
Aliyemuita Yuda ni CHADEMA?Ni wewe wasema,kwa ujinga wako,E Nchimbi ndiye makamu wetu wa rais,hakuna kijana aliyepitia chipukizi atahadaika na ujinga ujinga wa chadema./
Chadema ni wajinga sana mnaona mchonganishe nyadhfa au mamlaka ili hali iwe mbaya,mmesha fail mapema sana.
Simai mbunge aliesema MSALITI , kwani wa chadema?Ni wewe wasema,kwa ujinga wako,E Nchimbi ndiye makamu wetu wa rais,hakuna kijana aliyepitia chipukizi atahadaika na ujinga ujinga wa chadema./
Chadema ni wajinga sana mnaona mchonganishe nyadhfa au mamlaka ili hali iwe mbaya,mmesha fail mapema sana.
hii ina maana gani ?π«°πΎ
#Furtunate (vijana wa fursa)kupitia CCM,huyu ni sawa na lissu au HECHE,si zao la kina la kichama,hawa ni bypasser tuSimai mbunge aliesema MSALITI , kwani wa chadema?
Si wengine tuliwachagua, labda we na mumeo tu ndo hamjawachaguaUrais wa wapi?
Huyo Nchimbi na Samuya wote haramu.
Hakuna aliyewachagua.
Yes, time will tell the truth ππ½ππ½Muda ni mwalimu mzr.
Kazi ni kipimo cha utu
Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, Juni 5, 2026, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma. Katika maadhimisho hayo amesema;
"Tulimwomba Rais Samia awe mgeni rasmi wa tukio hili muhimu la Siku ya Mazingira Duniani. Na nilipokaa na Mheshimiwa Waziri, Naibu Mawaziri na viongozi wengine waandamizi wa wizara yangu ofisini kwangu pale, tukajua ratiba za Rais ni ngumu kidogo. Na tulisema kwa uzito wa shughuli hii tungetaka sana Mheshimiwa Rais ashiriki yeye mwenyewe kama mgeni rasmi.
Kwa hiyo tukawa tunapiga hesabu namna ya kumpata Mheshimiwa Rais huku tukijua ratiba ni ngumu. Kwa hiyo tukakubaliana kutengeneza utaratibu utakaomfanya Mheshimiwa Rais ashindwe namna ya kufanya na aje kwenye shughuli yetu. Tukawa tunaweka ratiba nyingi kidogo, maana tulijua atakapoona ratiba yake ngumu atasema aende Makamu au aende Waziri Mkuu.