Nchimbi: Rais Samia alinikabidhi mamlaka ya urais wakati anaenda nchini Urusi

Siasa😄🙌 nchi hii wanaokosea n chadema pekee kw sababu wanasaut y kusema n kupinga?? Mnatk chama fuln kisikosolewe?? Nn maan y kuw n vyama vingi?? Moj y faid y vyama vingi nipamoja na kutambua chama fuln kilichopo madarakn kikosolew ili chama hicho wajue wap wametekeza. Sasa je?? Kukiwa n chama kimoja patafahamik wap kunakosewa au wap pameteleza wakt wafuasi wote n chawa😄🙌?? Au mnatk vyama fuln ambavyo havin sauti ndo vikosie kwasababu n rahic kuwazima data??
 
Kwa uandishi huu sidhani Chadema kama ina mtu kama wewe...
 
Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, Juni 5, 2026, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma. Katika maadhimisho hayo amesema;

"Tulimwomba Rais Samia awe mgeni rasmi wa tukio hili muhimu la Siku ya Mazingira Duniani. Na nilipokaa na Mheshimiwa Waziri, Naibu Mawaziri na viongozi wengine waandamizi wa wizara yangu ofisini kwangu pale, tukajua ratiba za Rais ni ngumu kidogo. Na tulisema kwa uzito wa shughuli hii tungetaka sana Mheshimiwa Rais ashiriki yeye mwenyewe kama mgeni rasmi.

Kwa hiyo tukawa tunapiga hesabu namna ya kumpata Mheshimiwa Rais huku tukijua ratiba ni ngumu. Kwa hiyo tukakubaliana kutengeneza utaratibu utakaomfanya Mheshimiwa Rais ashindwe namna ya kufanya na aje kwenye shughuli yetu. Tukawa tunaweka ratiba nyingi kidogo, maana tulijua atakapoona ratiba yake ngumu atasema aende Makamu au aende Waziri Mkuu.

Hatimaye Yuda amejitokeza hadharani?
 
Anamtumia salamu MWIGULU.
 
Ni wewe wasema,kwa ujinga wako,E Nchimbi ndiye makamu wetu wa rais,hakuna kijana aliyepitia chipukizi atahadaika na ujinga ujinga wa chadema./
Chadema ni wajinga sana mnaona mchonganishe nyadhfa au mamlaka ili hali iwe mbaya,mmesha fail mapema sana.
Sijaelewa mkuu! Kumbe aliyemuita Yuda ni John Heche wa CHADEMA?
 
Back
Top Bottom