PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali za CCM zitatilia mkazo wa kuinua kilimo cha umwagiliaji.
Amesema ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025/30 imeweka wazi mpango wa kuimarisha kilimo zaidi cha umwagiliaji ili wanzanzibari wasitegemee sana mvua wakati wote.
Kauli hiyo ameitoa katika mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea mwenza wa urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi unaofanyika uwanja wa Kinyasini wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba.
Dk.Nchimbi amesema katika kufanikisha jambo hilo CCM imeweka mkazo katika kipindi cha miaka miyufanikisha pembejeo bora za kilimo zinapatikana mikopo nafuu inapatikana na vile vile na masoko yanapatikana,”amesema
Amesema katika miaka mitano ijayo CCM itajiwekeza katika kujimarisha zao la karafuu,matunda, mboga mboga na nafaka ili kuwepo na usalama wa chakula.